Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
ππππππππππππSio mbaya.. mamelodi wakija wanapigwa mnara β
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππππππSio mbaya.. mamelodi wakija wanapigwa mnara β
Unajisifu kuifunga Ihefuπππππ
Mbona mlishindwa kuifunga Al Ahly kama kweli Yanga inapiga mpira?
Unajua katika timu zilizofungwa magoli mengi Champion League Yanga naye yumo?
Yanga ipi ya kumtoa mamelodi? Geita tu hapo jana imemtoa kamasiYANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS
"Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016 toka hapo Amefika Nusu fainali mara mbili tu, mara zote amekuwa akiishia hatua ya robo fainali.
"Kumtoa Mamelod inawezekana lakini inapaswa kuwa na mpango mkakati zaidi, Ukweli ubora wa Mamelod kuheshimika Kwa kufanya ulinganisho wa vikosi vyote viwili.
"Ubora wa Yanga inaweza kuitoa Mamelod Sundowns na Yanga hii ndio timu pekee kutoka Tanzania ambayo inaweza kuwatoa Mamelod kutokana na ubora wao".
George Job (Wasafi FM) akizungumza kuelekea mchezo wa Yanga dhidi ya Mamelod kwenye robo fainali ligi ya Mabingwa Barani Africa.
Kama Yanga iliifunga Simba 5-1 na Simba ilitoka na Al Ahly 2-2 na Misri 1-1 halafu.Sasa mbona ilipotufunga Ihefu mlishangilia Sana?
Kama Simba iliifunga Al Ahly na Yanga ikaipiga Kono La nyani Simba ,Al Ahly ni mchumba tu.
Magoli mengi yanaanzia mangapi? Kufungwa kufungwa tu.