Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

Mamelodi siyo marumo stuka utanjinyea,

Hawa ni Masandawana wazee wa kukanda
Mbumbumbu katika ubora wao. Tumeshawazoea. Ilianzia Club Africain, ikaja Rivers United , Marumo Gallants. Mmeshaambiwa semeni mapema akipigwa mtu mtaanza oooh hii si Mamelodi original walichezesha kikosi cha yosso etc. Uso wa binadamu umeumbwa na haya kwani ukikaa kimya utapoteza nini?
 
YANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS​

"Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016 toka hapo Amefika Nusu fainali mara mbili tu, mara zote amekuwa akiishia hatua ya robo fainali.

"Kumtoa Mamelod inawezekana lakini inapaswa kuwa na mpango mkakati zaidi, Ukweli ubora wa Mamelod kuheshimika Kwa kufanya ulinganisho wa vikosi vyote viwili.

"Ubora wa Yanga inaweza kuitoa Mamelod Sundowns na Yanga hii ndio timu pekee kutoka Tanzania ambayo inaweza kuwatoa Mamelod kutokana na ubora wao".

George Job (Wasafi FM) akizungumza kuelekea mchezo wa Yanga dhidi ya Mamelod kwenye robo fainali ligi ya Mabingwa Barani Africa.

Mlipigwa na Boulzdad 3-0 baada ya kuifunga Mediama na Boulzdad mkajua na Al Ahly mtaenda kuifunga matokeo yake mefungwa Misri kimya.
Kama mechi zote za makundi meshinda nyumbani halafu mnasema mnaifunga Mamelody nje ndani. Ngoja tuone😀😀😀
 
Mlipigwa na Boulzdad 3-0 baada ya kuifunga Mediama na Boulzdad mkajua na Al Ahly mtaenda kuifunga matokeo yake mefungwa Misri kimya.
Kama mechi zote za makundi meshinda nyumbani halafu mnasema mnaifunga Mamelody nje ndani. Ngoja tuone😀😀😀
Sio mbaya.. mamelodi wakija wanapigwa mnara ✋
 
Kwenye soka chochote kinaweza kutokea ,Ihefu alikuwa anamsumbua sana Yanga ,lakini Juzi amelamba KONO LA NYANI.
Unajisifu kuifunga Ihefu😀😀😀😀😀
Mbona mlishindwa kuifunga Al Ahly kama kweli Yanga inapiga mpira?
Unajua katika timu zilizofungwa magoli mengi Champion League Yanga naye yumo?
 
Back
Top Bottom