A ashera JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 502 Reaction score 1,048 Nov 8, 2020 #221 chokodari said: Kwenye hili ni true, but chama hichi kinaudhi sana kutetea ushoga si unakumbuka obama mambo yake Click to expand... Ushoga unakuathiri vipi katika maisha yako?
chokodari said: Kwenye hili ni true, but chama hichi kinaudhi sana kutetea ushoga si unakumbuka obama mambo yake Click to expand... Ushoga unakuathiri vipi katika maisha yako?
Burnaboy JF-Expert Member Joined Dec 2, 2019 Posts 1,070 Reaction score 1,439 Nov 8, 2020 #222 Kanye West: 0.000...%
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Nov 8, 2020 #223 Ritz said: Daaah sisi tulishaondoka siku nyingi na JK. Tukawaachia nchi nyie. Tupo msoga tu tunakula mananasi na matikiti. Click to expand... ...πππ...
Ritz said: Daaah sisi tulishaondoka siku nyingi na JK. Tukawaachia nchi nyie. Tupo msoga tu tunakula mananasi na matikiti. Click to expand... ...πππ...
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Nov 8, 2020 #224 Imeloa said: Sisi tungeachana tu na haya mambo ya uchaguzi maanake sio hulka yetu. Mtu anajitangaza mshindi kwa mtutu wa bunduki kisha anasema bila aibu kuwa uchaguzi umeisha, uchaguzi gani wakati ni mapinduzi ya kijeshi. Very hopeless indeed. Click to expand... Kunywa soda unayotaka agiza Chips kuku, Chips zege+ Ugali maharage nakuja kulipa
Imeloa said: Sisi tungeachana tu na haya mambo ya uchaguzi maanake sio hulka yetu. Mtu anajitangaza mshindi kwa mtutu wa bunduki kisha anasema bila aibu kuwa uchaguzi umeisha, uchaguzi gani wakati ni mapinduzi ya kijeshi. Very hopeless indeed. Click to expand... Kunywa soda unayotaka agiza Chips kuku, Chips zege+ Ugali maharage nakuja kulipa
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 7,981 Reaction score 17,743 Nov 8, 2020 #225 Nyani Ngabu said: Siujui na wala sijali. Afrika ni vyema tukajitatulia matatizo yetu wenyewe. Joe ni Rais wa Marekani, siyo Rais wa Afrika. Click to expand... πππ Sisi waafrica bhana, umemjibu vyema sana, sisi tupambane na matatizo yetu Alikuepo Obama aliyetoka Kenya aliwasaidia nini wakenya? Waafrica tupambane na matatizo yetu
Nyani Ngabu said: Siujui na wala sijali. Afrika ni vyema tukajitatulia matatizo yetu wenyewe. Joe ni Rais wa Marekani, siyo Rais wa Afrika. Click to expand... πππ Sisi waafrica bhana, umemjibu vyema sana, sisi tupambane na matatizo yetu Alikuepo Obama aliyetoka Kenya aliwasaidia nini wakenya? Waafrica tupambane na matatizo yetu