Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Fact: kesi na mgogoro wa majimbo 5 -- Arizona, PA, Georgia, Michigan, WisconsinKajitangaza Biden lkn bado kuna kesi kibao kafungua Trump, halafu Dec electoral college wakae waamue wampe nani na Congress wampitishe ndio inakuwa imeisha.
NB: maamuzi ya electoral college (baraza la uteuzi) ama electoral votes (kura za uteuzi) hutegemea ushindi wa mgombea kwa popular votes (kura za wananchi/kura za uchaguzi) kwenye majimbo; yule aliyechukua majimbo yanayomwezesha kubwa na electoral votes nyingi kuliko mwenzake ndiye atakayepitishwa na hiyo EC mnamo tarehe 14 Desemba. Ndiyo maana mshindi hufahamika mapema.