Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Kwanini Democrats wameamua kuuza nafasi kirahisi hivyo kwa kumsimamisha Kamala? Tangu lini Us rais akawa mwanamke?
 
Kwanini Democrats wameamua kuuza nafasi kirahisi hivyo kwa kumsimamisha Kamala? Tangu lini Us rais akawa mwanamke?
Maswali kama haya mlijiuliza pia wakati wa Obama.

Tangu lini “non Caucasian” akawa rais in US?!

The rest was history.

Everything has a beginning.
 
Go check it out and come back…

Agenda 47 is Trump's plan not Project 25

So what did you want to talk about project 25?
 
Wenzetu wanaamua mambo haraka, sisi unang'ang'ania mpaka ufie ofisini. Wazungu ni akili kubwa.
 
Wenzetu wanaamua mambo haraka, sisi unang'ang'ania mpaka ufie ofisini. Wazungu ni akili kubwa.
Biden kaamua haraka? Miezi mitatu kabla ya uchaguzi ndo haraka kweli?

Halafu Biden wala hajaamua kwa hiari yake. Kapewa shinikizo na watu wa chama chake na vitisho juu.

Angetangaza mapema Democrats wangepitia mchakato wa caucuses na primaries.

Ila ung’ang’anizi wake wa madaraka ndo umewafikisha hapo waliło hivi sasa.
 
Soma uzi kuna link ya page yake ya X usisome kichwa cha habari.
Hii New York times walisema jana asubuhi kabla hajaachia ngazi,hili gazeti naliamini mambo ya ndani ya America
 
Back
Top Bottom