Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

wamuue kabla hajaleta madhara
 
Hata ningepitia ningesema? Ila najua information nyingi mno ambazo kwa makusudi kabisa ziko biased na nyingine huwezi kuzipata Google!
Mkuu kuna wakati watu CIA waki retire huwa wanaandika vitabu vyao, kwa clearence ili wasitoe information kinyume kabisa na Matakwa ya Marekani, ukisoma vitabu hivyo utaona magazine, kwenye TV, tena za US tuliaminishwa vitu tofauti kabisa! On short mkuu I dont trust news hata za West 100%
 
Kila News zina agenda Mkuu! Ziko biased na zina malengo! Hata za kwako za East don't trust 100%..
 
Nilimsikia yule kamanda mkuu wa NATO akisema Nyuklia woo kani noto bi woni sasa wasiwasi wa nini

Wanampatia Ukraine makombora yenye uwezo wa kupiga Moscow halafu wategemee Putin awe kama akina Tsekedi
Kiukweli marekani aache kumsaidia Zelesk ili Vita iishe
Ujinga anaoufanya biden ndo utaigharimu dunia Wamwache Putin atumie nyuki [emoji2]
 
Ubaya wa nuclear ina impact kwenye mimea na genetics za binadamu in a long run
 
Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Marekani huyu huyu ndie aliyetahadharisha kwamba Urusi itaivamia Ukraine na kweli ikatokea. Sasa kuna uwezekano mkubwa kwamba nyuklia itatumiwa kama aonavyo Marekani. Cha msingi ni kumuomba Mungu ikitumika madhara yake yasitufikie. Inategemea itaelekezwa wapi. Washington yenyewe ikizingua inatumiwa kitu kisichozuilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…