cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishaga yadharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukinidai kwa fujo me nachill tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishaga yadharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukinidai kwa fujo me nachill tu
Kuna watu wana mioyo mepesi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo la afya akili Tanzania ni kubwa sana!!Alfajiri alikua anafanya Nini huko ghorofani
Maisha magumu unapata hela ya mafuta ya gari?Ugumu wa maisha!Tanzania viongozi wanakula na kusaza.wananchi wamesahaulika
Poor calculation of momentum, Mass×speed maji kwenye tenki yalikua hayatoshii, ilitakiwa yawe more than 10 meter deep,ili yamacomodate, Lakini akaenda ku crush chini ya tank, [emoji24][emoji24] Elimu ni muhimuYule bwege alikuwa anajifanya mtu wa sarakasi na mazingaombwe..alikaa ICU siku mbili akarudi kwa BABA
Not to that extent of suicide mission,yule ana gari kabisa, [emoji137] kuna roho zili mdrive tu [emoji24][emoji24]Watu wengi wako depressed.
Maisha yamekua na changamoto nyingi.
Mambo ya mapenzi.Inaweza ikawa mambo ya mapenzi
Huwezi jua
Ova
Mim naamin ktk depression na dalili zake na wewe endelea kuamin kuwa ni roho mkuu.Not to that extent of suicide mission,yule ana gari kabisa, [emoji137] kuna roho zili mdrive tu [emoji24][emoji24]
Hayajakukuta
Eti mchezo unahitaji kujiamini aisee[emoji1787]Huyu Jamaa ndio Tushamsahau!!View attachment 2632363
Hakuna maajabu juu ya kifo cha Joel , kuna wakati binadamu tunakutana na malaika mtoa roho , anatupeleka kuzimu muda wowote ebu angalia hiyo video jinsi Binadamu tulivyo na changamoto.Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri zitakavyopatikana.
View attachment 2632805
Joel Misesemo enzi za uhai wake
=====
Kijana asiyefahamika aliyekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35 amefariki baada ya kujirusha kutoka gorofa ya 15 katika jengo la Derm lililopo Makumbusho, Dar es Salaam.
UPDATE: Polisi yathibitisha aliyejiua, kufanya uchunguzi
POLISI: KAMERA ZIMEONESHA JOEL MISESEMO AKIJIRUSHA MAKUSUDI KUTOKA GHOROFA YA 7
Kufuatia tukio la kifo cha Joel Misesemo Chizi mwenye umri kati ya miaka 35 hadi 40, Mkazi wa Mwananyamala, Jeshi la Polisi limesema chanzo cha awali ni mhusika kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza lililopo Makumbusho Kijitonyama.
Imeelezwa kuwa Joel alifika eneo hilo akiwa na gari aina ya Suzuki rangi ya silver (T142 DRM) na kuonekana katika jengo hilo Saa 11 Alfajiri ya Mei 23, 2023, akamwambia Mlinzi wa zamu kuwa anaenda kufanya ibada kwenye Msikiti uliopo ghorofa ya 15 ndani ya jengo hilo, muda mfupi baadaye alijirusha.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema kamera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya 7 kupitia dirishani na mwili wake umepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala kwa uchunguzi Zaidi
Ugumu wa maisha vipi amefika na gari hapo?Yan hapo ni mapenz au ugumu wa maisha.
Washauri wa kiroho ni muhimu sana kuwa karibu nao
NiambieMkuu
Kama unataka kijirusha lazima uhakikishe unakwenda ghorofa ya juu zaidi,kama alivyofanya rafiki yetu Joel kwa.... er,hekima yake.
Hii stori haijakwisha bado. Hapa siyo America,ambapo watu wanaacha gari kando wanaenda kujiua.
I hope to God siyo matatizo ya wivu wa mapenzi tena.
Shida ni nini?kwani alikua mahututi kusema kwamba awahishwe hospitali!! Punguza ujuajiWazungu wakisema hatuna akili tusikatae tangu saa 11 mpaka saa 2 mnauangalia tu? Hamna vituo vya polisi? hospital?