Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 13, 2024 #501 Anafika Makumbusho, anapark gari, akiwa na flash yenye kazi aliyopanga kupresent anapitisha chini ya mlango wa venue husika, funguo ya gari pia anapitisha, mwisho anaelekea kujiua. Kulingana na maelezo aliyetoa jamaa aliyepanga kukutana naye
Anafika Makumbusho, anapark gari, akiwa na flash yenye kazi aliyopanga kupresent anapitisha chini ya mlango wa venue husika, funguo ya gari pia anapitisha, mwisho anaelekea kujiua. Kulingana na maelezo aliyetoa jamaa aliyepanga kukutana naye
K kidole cha simba JF-Expert Member Joined Jun 3, 2022 Posts 1,994 Reaction score 2,510 Dec 16, 2024 #502 Poppy Hatonn said: Amesahau kuuliza ile simu ya mwisho alikuwa anaongea na nani Click to expand... Mimi nilipata tatizo la afya ya akili,ninja kanda ya barabara,trafiki akaacha lindo na kuondoka!!!!
Poppy Hatonn said: Amesahau kuuliza ile simu ya mwisho alikuwa anaongea na nani Click to expand... Mimi nilipata tatizo la afya ya akili,ninja kanda ya barabara,trafiki akaacha lindo na kuondoka!!!!