CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Na wewe umestukia eh !!!!Mheshimiwa naona umeamua kujipigia kampeni, Watanzania watake wasitake lazima watakujua tu mwaka huu..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umestukia eh !!!!Mheshimiwa naona umeamua kujipigia kampeni, Watanzania watake wasitake lazima watakujua tu mwaka huu..!
Ni sawa kabisa hata hivyoI. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
This is absurd. Who has this guy motivated?I. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Kwanza Kinana yupo wapo?? Tuanzie hapo. Mzee wetu yupo wapiI. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Hii nafas anatakiwa aichukue Lucas Abel Mwashambwahuyo ni mzee wa familia sio gen V
KitamboKwani joel kahama chadema?
TakatakaI. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzinfatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
NATASI ZA JUU Kwenye Chama na walipotokea.
Mwenyekiti - Unguja, (Dr.),
Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) - Unguja, Mkuranga.;(Dr.),
Makamu Mwenyekiti - Bara, (pendekezo) - Mtwara, (Dr.)
Katibu Mkuu - Ruvuma, (Dr.)
Katibu Mwenezi - Morogoro,
Mwaka Hazina (pendekezo) - Iringa - Mchg.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Kakadhana" ndio nini?Wabongo bhana sijui kama mnajua maana ya GenZ Kila mtu umu kakadhana Joel ni GenZ😀