Tetesi: Joel Nanauka kumrithi Kinana CCM

Za ndani kabisa Makamu anawez kuwa gen z stivu aliyekuwa ameongoza jopo kwenda Korea.
 
Akiwa Makamu Mwenyekiti sasa hivi IQ yake inashuka 🤣🤣🤣
 
I. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.

II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.

Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Ni sawa kabisa hata hivyo
 
This is absurd. Who has this guy motivated?
 
Yule toka apate wa kufanana nae hataki mambo ya siasa
 
Hiyo nafasi sio ya vijana.

Bado anasafari ndefu.

Akae kwa kutulia.
 
I. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.

II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.

Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Kwanza Kinana yupo wapo?? Tuanzie hapo. Mzee wetu yupo wapi
 
I. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.

II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi, kuzinfatia uwakilishi wa viongozi wakuu wa Chama na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.

NATASI ZA JUU Kwenye Chama na walipotokea.

Mwenyekiti - Unguja, (Dr.),
Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) - Unguja, Mkuranga.;(Dr.),
Makamu Mwenyekiti - Bara, (pendekezo) - Mtwara, (Dr.)
Katibu Mkuu - Ruvuma, (Dr.)
Katibu Mwenezi - Morogoro,
Mwaka Hazina (pendekezo) - Iringa - Mchg.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Takataka
 
Back
Top Bottom