Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Dunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana,
ila Uongo mkubwa zaidi ni huu,

Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea,

Ameumba dunia kwaajili yetu, na ataiangamiza tena kwaajili yetu,
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba, 🥱.

Lakini aliimba hivyo hivyo,😅 ili aje kuiangamiza

Ameumba Moto WA jehannamu kwakua ametuumba tukosee ili atuchome, 🤔

japo alikua na uwezo wa kutuumba tusiwe wakosefu, ili atuumbie Pepo Tu, watoto wake pendwa

Anajua tunachohitaji lakini mpaka tumuombe, 🐐
hapa yaani kazidiwa mpaka na mbuzi, anaye hudumia watoto wake,

Hebu fikiria hii, kawaumba Adam na hawa, wakiwa bado wageni duniani akawatupia joka, ili liwajaribu,
na Kwa ugeni wao wakarubunika. lakini aliwapa Adhabu ya shuruba watu wote hata ambao walikua hawajazaliwa wakajumuishwa, 🤯

Any ways
Usiwape mbwa ?
Credit : Joel Peter Facebook
1000085943.jpg
 
Credit : Joel Peter FacebookView attachment 3634865
Hata wewe familia yako huwa wanakuomba huduma
 
nadhan binadamu ameumbwa akiwa na free will ya kufanya atakavyo na kama ameenda tofauti na mafundisho anaweza akaomba msamaha na akasamehewa sio lazima uchomwe unaweza ukaomba msamaha
 
Mkishashiba mnakaa sasa kumkosoa aliyewaumba....kwanini msijadili kwamba imekuaje uwepo wako hapa Duniani unatamba,unaringa,unarukaruka ila umetokana na shahawa,kimiminika ambacho tone lake moja tu likidondokea kwenye nguo utafanya kila namna kiondoke?
 
Yaani uue halaiki au mama ya watoto wachanga kisha uombe tu msamaha kirahisi
Yes inawezekana kabisa tena katika uislam siyo tu kukusamehe bali pia kama wewe uliyeomba masamaha upo serious kweli basi yale mabaya yanageuzwa kuwa mema...Huwa al ghafur al Rahim.
 
Back
Top Bottom