min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Utajuaje ili ? Nipe ishara hata ya yonaMUNGU hajawahi kushusha kitabu,hahitaji nguvu kubwa hivyo kuelezea uwepo wake,ila anajidhihirisha kupitia mamilioni ya ishara
Utajuaje ili ? Nipe ishara hata ya yonaMUNGU hajawahi kushusha kitabu,hahitaji nguvu kubwa hivyo kuelezea uwepo wake,ila anajidhihirisha kupitia mamilioni ya ishara
Hapana mkuu.Unamtisha mtoa mada asihoji mkuu
Zipo nyingi si lazima ishara ya Yona 😂Utajuaje ili ? Nipe ishara hata ya yona
Ndo freewill yenyewe sasaYaani uue halaiki au mamia ya watoto wachanga kisha uombe tu msamaha kirahisi
Na yeye mungu kwa uwezo wake wote huo wa kuweka vyote hivyo katika mpangilio huo na yeye uwezo wake umewekwa na nani mpaka awe ana akili kiasi hicho?Zipo nyingi si lazima ishara ya Yona 😂
👉Mawio na machweo
👉Majira ya mwaka
👉Kupwa na kujaa Kwa bahari.
👉Volcano
👉Matetemeko ya ardhi.
👆Wadudu wadogo (mchwa) kujenga kitu mithili ya mlima
👆Ushirikiano na muundo wa kijeshi wa Wadudu kama nyuki pamoja na kuwa na uwezo wa kugundua hatari,kubwa zaidi usafi yaani wewe msomaji wa hii comment huna uwezo wa kumzidi nyuki Kwa usafi.
👆Eco system,yaani wanyama porini kutegemeana.
👆 Radi na vichocheo vingine angani.
👆Uwezo wa ndege kujenga nyumba mithili ya mainjinia wakubwa.
Yapo maajabu mengi ambayo kwako unayaona ni kawaida lakini ukweli ni vitu vikubwa mno
Weka hata audio hapo alipoimba mkuu?Lakini aliimba hivyo hivyo,😅 ili aje kuiangamiza
Tafakari juu ya hoja zake acha kumbwelambwela huo muda haupo tenaMkishashiba mnakaa sasa kumkosoa aliyewaumba....kwanini msijadili kwamba imekuaje uwepo wako hapa Duniani unatamba,unaringa,unarukaruka ila umetokana na shahawa,kimiminika ambacho tone lake moja tu likidondokea kwenye nguo utafanya kila namna kiondoke?
😁😁😁😁 Kama nawaona wanao subiri mito ya asali na Maziwa peponiHiyo inaitwa wali mseto
Hizo ni sound za wafia dini ,hakuna loloteMkishashiba mnakaa sasa kumkosoa aliyewaumba....kwanini msijadili kwamba imekuaje uwepo wako hapa Duniani unatamba,unaringa,unarukaruka ila umetokana na shahawa,kimiminika ambacho tone lake moja tu likidondokea kwenye nguo utafanya kila namna kiondoke?
Kwahiyo hitimisho lake ni nini?Dunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana,
ila Uongo mkubwa zaidi ni huu,
Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea,
Ameumba dunia kwaajili yetu, na ataiangamiza tena kwaajili yetu,
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba, 🥱.
Lakini aliimba hivyo hivyo,😅 ili aje kuiangamiza
Ameumba Moto WA jehannamu kwakua ametuumba tukosee ili atuchome, 🤔
japo alikua na uwezo wa kutuumba tusiwe wakosefu, ili atuumbie Pepo Tu, watoto wake pendwa
Anajua tunachohitaji lakini mpaka tumuombe, 🐐
hapa yaani kazidiwa mpaka na mbuzi, anaye hudumia watoto wake,
Hebu fikiria hii, kawaumba Adam na hawa, wakiwa bado wageni duniani akawatupia joka, ili liwajaribu,
na Kwa ugeni wao wakarubunika. lakini aliwapa Adhabu ya shuruba watu wote hata ambao walikua hawajazaliwa wakajumuishwa, 🤯
Any ways
Usiwape mbwa ?
Credit : Joel Peter FacebookView attachment 3634865
Yeye uwezo wake haujawekwa na yeyote kwasababu yeye ni mwanzo na mwisho hakuna kiumbe alikuwepo kabla yakeNa yeye mungu kwa uwezo wake wote huo wa kuweka vyote hivyo katika mpangilio huo na yeye uwezo wake umewekwa na nani mpaka awe ana akili kiasi hicho?
Je wazungu na warabu waliwahi kuomba msamaha kwaajili ya biashara ya utumwa wamesamehewa?Kama ni hivyo kazi ipo
Huwa najaribu kuamini ila kuna mambo yanakataa tu mkuu😁😁😁😁 Kama nawaona wanao subiri mito ya asali na Maziwa peponi
Haya umeyajuaje mkuu? Kwa nini hivyo viwe vimewekwa na yeye asiwe kaweka pia?Yeye uwezo wake haujawekwa na yeyote kwasababu yeye ni mwanzo na mwisho hakuna kiumbe alikuwepo kabla yake
Hahaa majibu Yao Sasa ataanza mahubiriNa yeye mungu kwa uwezo wake wote huo wa kuweka vyote hivyo katika mpangilio huo na yeye uwezo wake umewekwa na nani mpaka awe ana akili kiasi hicho?
Hili swali hupaswi kuniuliza Mimi kuna comment ipo hapo juu iulizeJe wazungu na warabu waliwahi kuomba msamaha kwaajili ya biashara ya utumwa wamesamehewa?
Kwa mfano ni kitabu gani kimeshushwa kutoka mawinguni?Vinashindwaje na wakati inadaiwa vimeandikwa kwa maelezo yake na vingine vimeshushwa mawinguni
Mbona nyie mnasomewa mistari ileile kila leo,mjinga nani?Swali rahisi sana , tatizo mnauliza maswali yale yale kila siku