Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

Ngoja kimondo kimoja tu kishuke hapo kwa shemeji yako ndio utajua nani huwa anavishikilia huko angani
Unamtisha mtoa mada asihoji mkuu

Sayansi ya solar system and universe -galaxies ni complex sana ,wanasayansi wameshindwa kuelezea ilitokeaje na hapo ndipo imani ya Mungu inapokuja.

Hata wazee wetu wa zamani kupatwa kwa jua walihusisha mambo ya imani ila wanasayansi walikuja kujua ni nini na sasa wanaweza kujua lini itatokea hasi sekunde yake ,kitaalam wanasema ukishajua elimu ya kitu na kufaamu basi hapo imani inaondoka kwasababu tayari ushajua/ushapata ufahamu.

Ila kwenye kuundwa kwa ulimwengu wanasayansi hawajui kitu wanapiga adacadabra za Bing Bang tu.
 
Kuja kwa imani pia sio uthibitisho wa kuwa ni kweli , binadamu kapitia maelfu na mamia ya imani tofauti tofauti , kwa vipindi tofauti, hata hizi nazo zitapita tu ,yeye Mungu kwa ucomplex wake ka undwa na nani?
 
Imani means kuamini kitu ambacho hauna uhakika nacho na ndiyo maana kila mtu ana imani yake!
 
Amekupa uhuru uishi utakavyo....hatashindana na ww kamwe taste ya maisha ndo ho mitihani.tupambane kuishinda .
 
Ukiamini hayupo halafu ukakuta Yupo sio defence yako sasa? Utamwambia nilikua natenda dhambi kwa sababu nilikuwa siamini kama upo.. Wewe unae amini yupo halafu unatenda dhambi ndio utakuwa na kibarua cha kujibu
utakuwa ugumu wako asa huo maana makanisa yapo kilicho kufanya usiamini ni kipi
 
Sahihi. Wanyama wote wakiwemo binadamu, ndege nk wana hisia. Hisia nzuri na mbaya.

Hisia hizo upelekea tabia (characters) nzuri au mbaya.
Mfano: Biblia imesema katika vitabu vingi sana vya Solomoni, nyaraka za mtume Paulo, karibia kila kitabu. Imeweka wazi kuwa; hila, kiburi, ubinafsi, kijicho, tamaa, ujinga nk vitamuangusha mwanadamu.

Alikadharika; upendo, maarifa ya kweli, nidhamu, vitamlinda.

Swali langu: Je maisha ya mwanadamu ulimwenguni kote yametawaliwa na upande upi kati ya hizo?

Huwezi kuishi kwa chuki, hila, kiburi, tamaa, ujinga, uchoyo, wivu, ukaangamia kwa sababu zako mwenyewe. Alafu ukasema Mungu amekuangamiza.

Mungu ametupa uhuru wa kuchagua na alikuwa na makusudi. Ili kila mtu achague anachokitaka mwenyewe.
So literally you mean same applies to animals, ndiyo lilikuwa swali langu la msingi. Will the animals face the same punishment according to their deeds?
 
So literally you mean same applies to animals, ndiyo lilikuwa swali langu la msingi. Will the animals face the same punishment according to their deeds?
So why should animals be punished?

Wanyama wana dhambi gani? Hata hilo neno dhambi hawalijui.

Sheria iliwekwa kwa ajili ya mwanadamu kwa sababu yeye alipatwa kufunuliwa. Sijaona sheria kwa wanyama, na sijui kinachoendelea koroho katika ulimwengu wa wanyama.
 
Good umekiri kuwa haujui kinachoendelea 'kiroho' katika ulimwengu wa wanyama which translates that kwenye upande huo hapawezi kuwa na maoni yoyote tangible kutoka kwako.
 
kama vita iliyopigwa huko mbinguni na Mungu akaibuka mshindi inamaana angeshinda shetani Leo hii tungekuwa tunamuabdu shety na kumkemea Mungu?
min -me
Kwa mujibu wa biblia mungu ndio kafanya maovu mengi na makasiriko mengi kuliko shetani, yeye shetani karelax tu anafanya yake
 
MUNGU hajawahi kushusha kitabu,hahitaji nguvu kubwa hivyo kuelezea uwepo wake,ila anajidhihirisha kupitia mamilioni ya ishara
Mimi siamini ktk ukristo wala uislam naamini ktk mila za kabila ma ukoo wangu ila ninapoomba kwa Mungu mbona nafanikiwa sana tu
 
Back
Top Bottom