Joel Peter kawauliza waislamu na wakristu swali gumu

Dunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana,
ila Uongo mkubwa zaidi ni huu,

Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea,

Ameumba dunia kwaajili yetu, na ataiangamiza tena kwaajili yetu,
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba, 🥱.

Lakini aliimba hivyo hivyo,😅 ili aje kuiangamiza

Ameumba Moto WA jehannamu kwakua ametuumba tukosee ili atuchome, 🤔

japo alikua na uwezo wa kutuumba tusiwe wakosefu, ili atuumbie Pepo Tu, watoto wake pendwa

Anajua tunachohitaji lakini mpaka tumuombe, 🐐
hapa yaani kazidiwa mpaka na mbuzi, anaye hudumia watoto wake,

Hebu fikiria hii, kawaumba Adam na hawa, wakiwa bado wageni duniani akawatupia joka, ili liwajaribu,
na Kwa ugeni wao wakarubunika. lakini aliwapa Adhabu ya shuruba watu wote hata ambao walikua hawajazaliwa wakajumuishwa, 🤯

Any ways
Usiwape mbwa ?
Credit : Joel Peter FacebookView attachment 3634865
Hoja Dhwaaif.
 
Kwa hiyo hujui kama kwenye Biblia yako imeandikwa Mungu anajua yote yaliyopita yaliyopo na yajayo
Sasa mimi najua vipi kama kila sentensi iliyoandikwa kwenye biblia ni ya kweli kabisa, au ni tafsiri ya muwasilishaji! Inaweza kuandikwa ila ikabaki kuwa tafsiri ya imani ya mwandishi.
 
Dunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana,
ila Uongo mkubwa zaidi ni huu,

Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea,

Ameumba dunia kwaajili yetu, na ataiangamiza tena kwaajili yetu,
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba, 🥱.

Lakini aliimba hivyo hivyo,😅 ili aje kuiangamiza

Ameumba Moto WA jehannamu kwakua ametuumba tukosee ili atuchome, 🤔

japo alikua na uwezo wa kutuumba tusiwe wakosefu, ili atuumbie Pepo Tu, watoto wake pendwa

Anajua tunachohitaji lakini mpaka tumuombe, 🐐
hapa yaani kazidiwa mpaka na mbuzi, anaye hudumia watoto wake,

Hebu fikiria hii, kawaumba Adam na hawa, wakiwa bado wageni duniani akawatupia joka, ili liwajaribu,
na Kwa ugeni wao wakarubunika. lakini aliwapa Adhabu ya shuruba watu wote hata ambao walikua hawajazaliwa wakajumuishwa, 🤯

Any ways
Usiwape mbwa ?
Credit : Joel Peter FacebookView attachment 3634865
Mchezo wa kutafuta wa kumtupia lawama naona unaendelea. Jehanamu uchague wewe kwenda lawama umtupie Mungu. Ukiulizwa wakati wenzako wanachagua kwenda mbinguni wewe ulikuwa wapi utajibu nini?.
 
Wakati mwingine ukifuatilia sana habari za hao matapeli utaonekana nawe huna akili.
 
Mkuu achana na kiburi cha uzma iandae mbingu yako kwa kutenda mema ni kheri uamini mungu yupo ukifa usimkute kuliko kuamini hayupo ukamkuta!
 
Unakuta dogo anatafuta like....awe makini walikuwepo wengi kumzidi huyu ila dakika za mwisho walijikuta pekeyao
 
Mkuu achana na kiburi cha uzma iandae mbingu yako kwa kutenda mema ni kheri uamini mungu yupo ukifa usimkute kuliko kuamini hayupo ukamkuta!
Ukiamini hayupo halafu ukakuta Yupo sio defence yako sasa? Utamwambia nilikua natenda dhambi kwa sababu nilikuwa siamini kama upo.. Wewe unae amini yupo halafu unatenda dhambi ndio utakuwa na kibarua cha kujibu
 
Who lied to you? Animals have consciousness.
Huwa wana uoga, furaha na hata huzuni. Swali langu, wanateswa kwa sababu zipi?
Sahihi. Wanyama wote wakiwemo binadamu, ndege nk wana hisia. Hisia nzuri na mbaya.

Hisia hizo upelekea tabia (characters) nzuri au mbaya.
Mfano: Biblia imesema katika vitabu vingi sana vya Solomoni, nyaraka za mtume Paulo, karibia kila kitabu. Imeweka wazi kuwa; hila, kiburi, ubinafsi, kijicho, tamaa, ujinga nk vitamuangusha mwanadamu.

Alikadharika; upendo, maarifa ya kweli, nidhamu, vitamlinda.

Swali langu: Je maisha ya mwanadamu ulimwenguni kote yametawaliwa na upande upi kati ya hizo?

Huwezi kuishi kwa chuki, hila, kiburi, tamaa, ujinga, uchoyo, wivu, ukaangamia kwa sababu zako mwenyewe. Alafu ukasema Mungu amekuangamiza.

Mungu ametupa uhuru wa kuchagua na alikuwa na makusudi. Ili kila mtu achague anachokitaka mwenyewe.
 
Kulijua jambo kabla halijatokea hakumaanishi wewe ndiye ulisababisha litokee.

Mungu kujua binadamu atafanya maamuzi mabaya haiondoi ukweli kwamba hayo maamuzi ni ya binadamu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom