Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Hata wewe familia yako huwa wanakuomba hudumaDunia imepitia uongo, utapeli, na propaganda nyingi Sana,
ila Uongo mkubwa zaidi ni huu,
Hebu fikiria, unaambiwa kuna mungu muweza WA yote, yupo sahihi na hajawahi kukosea,
Ameumba dunia kwaajili yetu, na ataiangamiza tena kwaajili yetu,
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba, 🥱.
Lakini aliimba hivyo hivyo,😅 ili aje kuiangamiza
Ameumba Moto WA jehannamu kwakua ametuumba tukosee ili atuchome, 🤔
japo alikua na uwezo wa kutuumba tusiwe wakosefu, ili atuumbie Pepo Tu, watoto wake pendwa
Anajua tunachohitaji lakini mpaka tumuombe, 🐐
hapa yaani kazidiwa mpaka na mbuzi, anaye hudumia watoto wake,
Hebu fikiria hii, kawaumba Adam na hawa, wakiwa bado wageni duniani akawatupia joka, ili liwajaribu,
na Kwa ugeni wao wakarubunika. lakini aliwapa Adhabu ya shuruba watu wote hata ambao walikua hawajazaliwa wakajumuishwa, 🤯
Any ways
Usiwape mbwa ?
Credit : Joel Peter FacebookView attachment 3634865
Yaani uue halaiki au mamia ya watoto wachanga kisha uombe tu msamaha kirahisinadhan binadamu ameumbwa akiwa na free will ya kufanya atakavyo na kama ameenda tofauti na mafundisho anaweza akaomba msamaha na akasamehewa sio lazima uchomwe unaweza ukaomba msamaha
Acha kutisha watu weweMkishashiba mnakaa sasa kumkosoa aliyewaumba....kwanini msijadili kwamba imekuaje uwepo wako hapa Duniani unatamba,unaringa,unarukaruka ila umetokana na shahawa,kimiminika ambacho tone lake moja tu likidondokea kwenye nguo utafanya kila namna kiondoke?
Vinashindwaje na wakati inadaiwa vimeandikwa kwa maelezo yake na vingine vimeshushwa mawinguniMungu yupo ila shida ni vitabu kushindwa kumwelezea
Hi ni vitisho ili tusijihoji mkuuBinaadamu wakishashiba ubwabwa wanzaana kufuru.
Yes inawezekana kabisa tena katika uislam siyo tu kukusamehe bali pia kama wewe uliyeomba masamaha upo serious kweli basi yale mabaya yanageuzwa kuwa mema...Huwa al ghafur al Rahim.Yaani uue halaiki au mama ya watoto wachanga kisha uombe tu msamaha kirahisi
MUNGU hajawahi kushusha kitabu,hahitaji nguvu kubwa hivyo kuelezea uwepo wake,ila anajidhihirisha kupitia mamilioni ya isharaVinashindwaje na wakati inadaiwa vimeandikwa kwa maelezo yake na vingine vimeshushwa mawinguni
Kama ni hivyo kazi ipoYes inawezekana kabisa tena katika uislam siyo tu kukusamehe bali pia kama wewe uliyeomba masamaha upo serious kweli basi yale mabaya yanageuzwa kuwa mema...Huwa al ghafur al Rahim.
Unamtisha mtoa mada asihoji mkuuNgoja kimondo kimoja tu kishuke hapo kwa shemeji yako ndio utajua nani huwa anavishikilia huko angani