Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

Tuwe wakweli Dar viwanja vya mpira vipo vingapi, Jambo la msingi nikuchukua tahadhari lkn viwanja Ni adim sana
 
Nguvu za kiume ni shida
 
Umuhimu wa viwanja vya wazi unahitajika....mfano biafra pangetengenezwa vizuri au pale opposite na zantel uwanja wa wazi
Napo pangetengezwa vzr watu wangekuwa wanaenda kupasha misuli,mazoezi ya viungo

Ova
 
Badilisha aina ya mazoezi , kuruka kamba ni nzuri sana !! Unaweza kuweka muziki wakati wa kuruka ! Mwanzo hutapenda ila ukizoe kamba ni mazoezi mazuri zaidi .
 
R.I.P kwa members wote wa jogging walikutwa na umauti. Uzi huu umenifanya niwe mpole sana na kufikilia upya Ratiba yangu ya jogging. Bora nirudi Gym tu kwa kweli tena kwa huku Chugga bodaboda wengi Bangi tu.
 
Ai
Mtu akikimbia barabarani aache wosia nyumbani kuepusha ndugu kugombania sabufa na TV nk.
Na aandike anazikwa mjini au anaenda kuzikwa kwao shamba na aache pesa ya mazishi yake?!?
Na kama ana mke aseme kabisa mkewe aolewe na nani?
Aisee😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sie tuliopo maeneo ya nje ya mji lakini tunapitiwa na barabara kuu tufanyeje?
 
Uyu ndugu wa Masasi, Mtwara na mimi alisikitisha sana
 
Uyu ndugu wa Masasi, Mtwara na mimi alisikitisha sana
Dogo kazaliwa 1992 Kafa hajayafaidi maisha. Nawafikiria wazazi wake walivyoumia kumpoteza mtoto Msomi wa ngazi ya digrii
 
Tatizo usimamizi wa sheria za usalama barabarani. Ni vipi watu wanaruhusiwa kufanya mazoezi barabarani tena bila ya kuongozwa na askari?
 
Makundi ya jogging siku hizi
Wanawake kwa wanaume wanabanduana kweli
Kama mke wako yukk huko basi
Ashaliw sana.....

Ova


Halafu wadangaji wameshajua huko kwenye maeneo ya michezo including Gyms ndio wakitega mingo za kuwanasa mabwana zinakubali kirahisi sana!

Ni ajabu wanaume nao hawastukii kuwa wanatafutwa kuibiwa na makahaba!

Wanaume mtafuteni Mungu , Mpeni Mungu nafasi kwenye akili na mioyo yenu ili muweze kuishinda dhambi ya uzinzi na uasherati.

Sema sasa wanawapata lakini Mwanaume mjanja akishakula mzigo kwa shilingi 20,000/- akiamza kuombwa hela za kodi, chakula, nauli n.k. Anastukia na kumblock.

Awareness ni kubwa sasa hivi.

Wanawake watafute vibarua vya kujiingizia vipato Kwa jasho Lao wenyewe.

Na Pia kuepuka tamaa.

Umalaya hauna tija.

Utafunuliwa na wanaume wangapi?!
 
Umuhimu wa viwanja vya wazi unahitajika....mfano biafra pangetengenezwa vizuri au pale opposite na zantel uwanja wa wazi
Napo pangetengezwa vzr watu wangekuwa wanaenda kupasha misuli,mazoezi ya viungo

Ova


Nchi za wenzetu wanazingatia sana hilo jambo la kuweka sehemu za wazi na za michezo na mazoezi.

Yani watu wa mipango miji Halmashauri hadi mtaani kwa kila mtaa kunakuwa na public places za michezo na mazoezi zinakuwa ni public gardens and free accessible.

Bongo tunakwama wapi?
 
Well said👏👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…