Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

Kwani lazima mazoezi ya kukimbia yafanyike barabarani tu?
Mtu serious na mazoezi anahitaji nafasi kidogo tu hayo ya barabarani ni show off hakuna kingine.
Wewe sio mkimbiaji,ungekuwa mkimbiaji usinge comment hayo,unakimbia km 15,showoff hapo ni nini,unategemea kila unapokimbia kuna watu,kuna wakati mtu unaamka saa 11 alfajiri hakuna mtu barabarani show off hapo iko wapi...
 
Wake na waume za watu huko gym
Ndy sehemu za kufanya mambo yao

Watu wanabanjuana sana huko

Ova
 
Bongo maeneo ya wazi wao wanataka kujenga tu ...
Zamani biafra tumecheza sana mpira
Sahv biafra wamewaweka watu wa garage,ni kama sehemu ya uwanja wameukodisha kwa watu

Ova
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jogging hazipaswi kufanyiwa barabarani. Shida sisi si watu wa kuchukuwa tahadhari. Kisha tunamsingiziya mungu.
 
Vijiwe vya bodaboda machinjio mpya jijini
 
Vijana wasiothamini maisha lazima wamalizwe na bodaboda na pombe
 
Kweli hata mimi nimeliona hilo,nitatafuta uwanja hapa jirani maana huwa nakimbia parefu huku kijichi from chekechea to kijichi bank/police

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Toa constructive criticism, what should they do now?
Ni vizuri kutafita uwanja jirani
Mimi piani mkimbiaji wa pembezoni mwa barabara nimejiongeza hadi sasa navaa reflactor lakini jioni jamaa wanavyorudi toka vibaruani wanawahi home huwa wamekanyaga kweli kweli sasa barabara hizi nyingi ni nyembamba hadi nafikiria sasa ni bora kukimbia kuzunguka uwanja

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Vijana wanapoteza maisha Kwa kukimbizana pembezoni mwa barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…