Corluka Neven
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 317
- 358
ko nikienda nikawamulika na torch ata kama ni saa 6 usku jogoo atawika ama??Majogoo wana mfumo wa android kwenye seli zao uitwa antroposcipne. Mfumo huu huwa unasense kiasi cha mwanga kwenye hewa. Sensor hizo zipo kwenye kile kidude cha juu ya kicwa cha jogoo na baadhi zipo kwenye manyoya ya mkiani...
Hapana, ukiwamulika kwa tochi hawawezi kuwika kwa sababu sensor zinagambua ongezeko la haraka la mwanga kwa hiyo jogoo anajua huu mwanga siyo mwanga wa asili bali ni wa chanzo kingine kwa hiyo hawezi kuwika...ko nikienda nikawamulika na torch ata kama ni saa 6 usku jogoo atawika ama??
Majogoo ya kisasa, hiyo ni dalili ya kiyama.Majogoo ya dar hata saa 5 usiku huwika
Huku kwetu jogoo akiwika saa2 ama 5 kisu muda uleule. sema kwa sasa hizi imani zimepungua.Majogoo ya dar hata saa 5 usiku huwika
jiike anawikajeHuku kwetu jogoo akiwika saa2 ama 5 kisu muda uleule. sema kwa sasa hizi imani zimepungua.
hata jike akiwika muda uleule anafatwa na kisu
Jogoo anajuaje kama sasa hivi ni alfajiri au jioni imefika?
Na kukisha pambazuka hawiki tena? Kwanini wasiwike muda wowote saa yoyote?
View attachment 3074197
Umejibu ki sayansi swali lisilopaswa kujibiwa kisayansi
Jogoo ana uwezo wa kutambua wakati wa alfajiri na jioni kwa kutumia mchanganyiko wa mambo kadhaa:
- Mwanga wa Asili: Jogoo anaweza kugundua mabadiliko ya mwanga. Wakati wa alfajiri, mwanga wa jua unaanza kuonekana, na wakati wa jioni, mwanga unaanza kupungua. Hii inamsaidia kujua wakati wa kuwika1.
- Saa ya Kibiolojia: Jogoo ana saa ya ndani (circadian rhythm) ambayo inamsaidia kutambua mzunguko wa siku na usiku. Hii inamfanya awe na ratiba ya kawaida ya kuwika asubuhi na jioni1.
- Tabia ya Mazingira: Jogoo anaweza pia kujifunza kutoka kwa mazingira yake. Ikiwa kuna kelele au shughuli nyingi wakati fulani wa siku, anaweza kuhusisha wakati huo na kuwika
yamkini hata ukiweka taa kwenye banda lao na kuwe na geti kwa namna yoyote ile ikifika saa9 lazima awike tu!!Mwanga wa Asili: Jogoo anaweza kugundua mabadiliko ya mwanga. Wakati wa alfajiri, mwanga wa jua unaanza kuonekana, na wakati wa jioni, mwanga unaanza kupungua. Hii inamsaidia kujua wakati wa kuwika1.
Wapi huko Jike anawika....Haya ni MaajabuHuku kwetu jogoo akiwika saa2 ama 5 kisu muda uleule. sema kwa sasa hizi imani zimepungua.
hata jike akiwika muda uleule anafatwa na kisu