PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kwani ili kuwika Jogoo hutegemea Mwanga? Kwani ili kujua kwamba kumekucha maeneo yote na nyakati zote mwanga ndiyo hutegemewa?Majogoo wana mfumo wa android kwenye seli zao uitwa antroposcipne. Mfumo huu huwa unasense kiasi cha mwanga kwenye hewa. Sensor hizo zipo kwenye kile kidude cha juu ya kicwa cha jogoo na baadhi zipo kwenye manyoya ya mkiani...
Halafu hiyo ya Jogoo kuwa na antroposcipne cell sijui android naona umeamua kujifanya na wewe ni RPC Mallya wa Dodoma. Umeshawaona wenzako wote humu kama vile wote ni wa Dovya.
