Jogoo anajuaje kama asubuhi imefika aanze kuwika?

Jogoo anajuaje kama asubuhi imefika aanze kuwika?

Namuunga mkono Stephen Ngalya hata mimi napenda critical thinking nimekuwa nafuatilia kwanini watu huwa wanaahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data hasa wale tuowapa dhamana ya kutuongoza ama kutuwakilisha nimepata jibu zuri sana
Mkuu umepata jibu gani ebu share nasi tafadhali
 
Mkuu umepata jibu gani ebu share nasi tafadhali
Nasikitika kujulisha kwamba tabia ya kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data, inasababisha majanga kwa wengine, (taifa), hata kwa wao wenyewe . Human herding, (unyumbu), human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and fear of their leaders yaani unyumbu ni tabia ya tunaowapa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi au uoga kwa viongozi wao, mnyama nyumbu hufuata mkumbo kwa kulifuata kundi popote litakapo pita bila kujali madhara kwa afya zao lengo kuu ni kufika huko waliko dhamira kwenda hata kama watapita kwenye mto wenye mamba wenye njaa wakishuhudia wenzao wakidhurika, hitimisho kumbe binadamu husababisha changamoto kwa wengine bila kujua ama kwa makusudi, (uncertainty is catalyzed by people without their knowledge or deliberately)
 
Majogoo wa siku hizi wanawika saa 5 usiku..saa 7 usiku..
Unaweza ukaamka ukidhani pamekucha
 
Mungu fundi sana...hawatumii saa wanazotumia binadamu lakini jogoo hawakosei muda wa kuwika. Ujue wanyama wana akili kuzidi binadamu.....ila sema binadamu anakiherehere kujifanya anajua kumbe hamna kitu..hadi aweke alarm nayo anaweza asiisikie 😎
😀😀😀😀😀😀😀ujuaji au sio
 
Back
Top Bottom