Sifa za kiumbe hai
1. Resipitarion (mfumo wa upumuaji)
Moto unatumia oxygen na unatoa carbon dioxide and carbon monoxide.
2. Movement (kujongea)
moto unaweza ukwaka sehemu fulani lakini ukajongea na kusambaa sehemu nyingine
3. Growth (Kukua)
moto unaweza kuanza ukiwa mdogo lakini ukawa mkubwa
4. Reproduction (kuzaliana)
moto unaweza ukawa unawaka sehemu fulani, ukaenda ukauchukua moto ule ule na kwenda kuuwasha sehemu nyingine
5. Exretion ( kutoa taka mwili)
moto ukiwa unawaka unatoa moshi na majivu, hizo ndo taka mwili za moto
6. Nutrion (lishe)
Moto unakula vitu vingi kama planstk, vitu vyenye asili ya miti, mafuta, wanyama nk
Wahuni niliwakalia kooni kweli, kiuhalisia walikuwa wanajua kabisa nawapiga kamba ila walikosa pa kutokea ikabidi wakubali yaishe...