Jogoo kashindwa kuwika mara mbili, nitumie Viagra?

jonas255

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
225
Reaction score
110
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).

JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa.

SIKU MBILI MFULULIZO Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo.

Je, naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hii?

Nawakilisha
 
Achana na ushindi wa kipompi. Tatu bila wakati umejipiga jeki sio fair is just like your attack someone from behind unfair.
 
Hizo dawa sio nzuri maana zinasisimua mishipa ya kobelo kupita kiasi,hivyo ukiwa adicted na hizo dawa itafika mahali bila kutumia kobelo hasimami

Kikubwa nenda kwenye huduma za afya upate ushauri sometimes tuna athiriwa na msongo wa mawazo au vyakula tunavyotumia
 
1000033842.jpg
1000033613.jpg
Kula zaga hizo,Viagra zitakuua.
 
Kwani una experience na kufanya mapenzi siku tatu mfululizo kwa kukamiana???

Kutungisha mimba inahitaji sekunde tu, sasa hayo mangono ya kimarathoni baiolojia hata haiyaelewi ndo maana inajiamulia kutokusikiliza na kushutdown for goood.

Ni mapenzi sio fita relaaax, ukiweza kufanya mara kadhaa kwa nwezi sio mbaya kadri mwili unavyoruhusu tu chief
 
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).

JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa.

SIKU MBILI MFULULIZO Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo.

Je, naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hii?

Nawakilisha
Pumbafu huwezi shindano na ulikotoka tafuta ufalme wa mbinguni na mengine utajaziwa😂ngumbalu kabsa
 
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).

JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa.

SIKU MBILI MFULULIZO Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo.

Je, naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hii?

Nawakilisha
kacheki afya kwa ujumla ikiwa pamoja na UTI n.k

hata hivyo,
ni muhimu ukapata vyakula muhimu na sahihi, asubuhi, mchana na jioni, ikawa ni pamoja matunda..

shiriki mazoezi kwa kiasi na upate muda wa kutosha kupumzika na utakua umetibu kabisaa tatizo hilo katika umri huo ulionao 🐒
 
Kitu ambacho wanaume tunashindwa kuelewa ni kuwa sio kila mwanamke utakuwa na hisia nae wengine huwa tunawatamani tu na kuishia kupiga kimoja afu hisia zinakata kabsa hvyo ukiona jogoo hajawika ujue huyo huna hisia nae tafuta ulie na hisia nae endelea kulipambania kombe.
 
Back
Top Bottom