Jogoo kashindwa kuwika mara mbili, nitumie Viagra?

Unataka ushindane na wanawake wa sasa ambao ukitaka kukojoa tunalalamika" please usikojoe babe!"
I swear u gonna die soon
Hahaha hii itakuwa inauma sana, yaani umefika mshindo mdada anakuambia "usikojoe pls", hii maana yake game yako ipo chini ya kiwango in terms of muda unaotumia na vitu unavyompa.

Nasisitiza wanaume wawe selfish kwa kweli.
 
🤣🤣🤣Si mnaonekana mnapotaka kufika kabla hatujafika...sijui haraka ya nini
 
Sasa kama kipapa cha moto sana, na wewe unajivutavuta mimi nifanyeje...naachia tu utajua mwenyewe!!
🤣🤣🤣 Mbona huwa mnaachia hivyohivyo kwani mshawahi jali 🤒
 
Mwili wa mwanadamu huhitaji kila kitu kiasi chake, ndio maana kuna wakati huhitaji mapumziko. Unapozidisha au kutaka kuweka ziada basi ndio utafika huku kwenye mawazo ya kutaka kutumia dawa ambazo kuna wengine wanajuta kuzitumia.
 
Achana na viagra utakuja kufia kifuani......Huyo mjomba ili awike anahitaji utulivu kwako na kisha kwa mwenza wako pia ,wote mkipaniki mambo yanakuwa mabaya zaidi.
 
hivi nikitumia mara moja tu kuna tatizo na je ndio itanifanya niwe tegemezi maana nataka nimridhishe leo tu nisitumie tena
 
hivi nikitumia mara moja tu kuna tatizo na je ndio itanifanya niwe tegemezi maana nataka nimridhishe leo tu nisitumie tena
kachukue Erecto ya Gm 50 alaf kikate nusu kunywa na maji mengi hakuna tatizo.
 
Umri wako?
Uzito wako na urefu?
Magojwa je una kisukari na pressure?
Baada ya hayo tutakupa mawazo
 
Relax bro kitu easy chukua muhogo wa mia mbili na naz ya mia mbili tafuna kwa pamoja asubuh na jion usiku sex ulifanya hiv kila week mara mbili unakua sawa ila nina formula matunda au maji ya uvugu vugu ya kutibu kabisa mfumo naituma kwa whats app kwa elf 30 tu au elf 10 moja whats app 0712505049
 
Bonyeza link ujionee jins ya kujitibu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…