MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Niko pamoja nawe.. anavyorap Eminem simkubali kabisa hasa ile sauti yake ya kizungu.Ni sawa mkuu, siijui tasnia kivile ila nina machaguo yangu.... sipendi kufokewa!
Michano iliyotulia, ndo maana nimemkubali LordEyez na Jombii sio JCB... vivyo hivyo kwa Eminem.
Sina tatizo na legacy yake!