Joh Makini, sitokusamehe kwa kutuharibia mziki wetu Nako 2 Nako Soldiers

Ni sawa mkuu, siijui tasnia kivile ila nina machaguo yangu.... sipendi kufokewa!

Michano iliyotulia, ndo maana nimemkubali LordEyez na Jombii sio JCB... vivyo hivyo kwa Eminem.

Sina tatizo na legacy yake!
Niko pamoja nawe.. anavyorap Eminem simkubali kabisa hasa ile sauti yake ya kizungu.
 
Ila yote kwa yote nako 2 nako bado kwangu ni kundi bora zaidi kwenye flouz kuliko weusi,lord eyes yuko vizuri sana lakin alizinguaga kipind kile na dunia haijawahi kuwa fair...

Eti kuna mwaka baraka dah prince alimsign lord haha jaman dunia haiko fair
 
Hahaahhah
 

Baraka huyu huyu mlevi?
 
Nako 2 Nako walijiharibia wenyewe kwa kuendekeza usela mavi. Na hili ni jambo lililowaharibia wasanii wengi wa Chuga.
 
Hahaha Lord kama Lord akasainiwa na Baraka daa prins πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wanadhani John ndio kawaangusha Nako2Nako lakini mambo kwa ground ni tofauti sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…