kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
- Thread starter
- #41
sio joh ni roma
Sio roma ni kimbunga mchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio joh ni roma
Sio roma ni kimbunga mchawi
Msituzungue kama hamna uhakika mara lord eyes ndo kazaa na lotuss mara roma
Utaacha lini kutumia ID za kiume wakati wewe ni mwanamke..
Anavyokutia huwa unamuita joh joh joh joh maana ulivyoitaja haina shaka kabisa na jinsia yako!!?
Huyo mtoto alikuzalisha wewe?
Leta picha yake
Inaitwa "Ufalme " . Wanagombania jina ufalme, na wote wapo chini ya mfalme . . .Dah mwamba nimesikiliza nyimbo flan inayodaiwa Ni diss kwa wanaomdiss
Dah jamaa kaua vibaya, mzigo mkali saana mistar mikali hatukan mtu humo ndan Ila anawapa vina heavy balaa!!
#Hip Hop siyo mistar miwil mitatu snitch,
Vita vya kweli Ni dhidi ya ujinga na umaskini
#siyo vita na joh makin mwanao atarith nin!
Hii nyimbo aliitoa lini kwa anaefahamu wadau??
Hana mke
Hana mtoto
Rapa inatakiwa ujishughulishe uache alama kama sio muziki basi familia..
John ni msanii mzuri sana alipotezwa kwenye game baada ya skendo ya ushoga
Joh makini ana Mke navHana mke
Hana mtoto
Rapa inatakiwa ujishughulishe uache alama kama sio muziki basi familia..
John ni msanii mzuri sana alipotezwa kwenye game baada ya skendo ya ushoga
Joh Makini ana watoto 2 ,Hana mke
Hana mtoto
Rapa inatakiwa ujishughulishe uache alama kama sio muziki basi familia..
John ni msanii mzuri sana alipotezwa kwenye game baada ya skendo ya ushoga
Joh Makini ana watoto 2 ,
Wasanii wengi wanachelewa kuoa/hawaoi (SUGU,Prof J,AY,FID Q,JMoe)
Your missing the point kuoa na kuzaa ni vitu viwili tofauti.FID Q amezaa na mzungu hajamuoa kaoa mswahiliSugu alizaa na feza wana mtoto wa miaka 4 au 5 kasoro,sugu ana mke mwngine mjamzito na kamvisha pete
Prof jay ana mke mzuri shombe shombe ana mtoto wa kike mw atakua form one kazuri sana
Fid q ana mke wa kizungu alishamzalia mtoto na ndoa wamefunga mwaka jana
Jmoe sifahamu
Your missing the point kuoa na kuzaa ni vitu viwili tofauti.FID Q amezaa na mzungu hajamuoa kaoa mswahili
Wasanii wanachelewa kuoa (Aliyeoa ni Prof na ameoa akiwa 40+,FID Q ameoa 35+,AY kaoa 35+) Joe Makini ana watoto 2 but hajaoa
Huyo ndio aliyemuoa ndio mzungu huyu ?Yule anayeishi na fid q ni mswahili,?
Mzungu aliyezaa naye yupo wap