Joh Makini, The Tanzania hip hop giant anayepita njia inayomfanya aonekane wa kawaida sana

Joh Makini, The Tanzania hip hop giant anayepita njia inayomfanya aonekane wa kawaida sana

hahahahahaha....relax mzee,nenda kwenye page yake ya insta utamuona mwanae
Utaacha lini kutumia ID za kiume wakati wewe ni mwanamke..
Anavyokutia huwa unamuita joh joh joh joh maana ulivyoitaja haina shaka kabisa na jinsia yako!!?

Huyo mtoto alikuzalisha wewe?
Leta picha yake
 
Joh kapotea na ametuangusha Sana sisi tuliokua tunampa sapoti kipindi hiyooo
 
Dah mwamba nimesikiliza nyimbo flan inayodaiwa Ni diss kwa wanaomdiss
Dah jamaa kaua vibaya, mzigo mkali saana mistar mikali hatukan mtu humo ndan Ila anawapa vina heavy balaa!!

#Hip Hop siyo mistar miwil mitatu snitch,
Vita vya kweli Ni dhidi ya ujinga na umaskini
#siyo vita na joh makin mwanao atarith nin!

Hii nyimbo aliitoa lini kwa anaefahamu wadau??
Inaitwa "Ufalme " . Wanagombania jina ufalme, na wote wapo chini ya mfalme . . .
 
Uyu jamaa madudu sana. Anaunganisha tu mistari utasikia kibororoni ndondondo si chururu, kwenye wimbo kataweka anatafuta vina tu,
 
Hana mke
Hana mtoto
Rapa inatakiwa ujishughulishe uache alama kama sio muziki basi familia..

John ni msanii mzuri sana alipotezwa kwenye game baada ya skendo ya ushoga
Joh Makini ana watoto 2 ,
Wasanii wengi wanachelewa kuoa/hawaoi (SUGU,Prof J,AY,FID Q,JMoe)
 
Joh Makini ana watoto 2 ,
Wasanii wengi wanachelewa kuoa/hawaoi (SUGU,Prof J,AY,FID Q,JMoe)

Sugu alizaa na feza wana mtoto wa miaka 4 au 5 kasoro,sugu ana mke mwngine mjamzito na kamvisha pete
Prof jay ana mke mzuri shombe shombe ana mtoto wa kike mw atakua form one kazuri sana
Fid q ana mke wa kizungu alishamzalia mtoto na ndoa wamefunga mwaka jana
Ay kaoa mnyarwanda na wana mtoto

Jmoe sifahamu
 
Almost miaka 10 now Joh Makini anaandikiwa thread kama hizi na wengi wamekuwa wana-mprovoke lakini kitendo cha yeye kukaa kimya kinawaumiza sana
 
Sugu alizaa na feza wana mtoto wa miaka 4 au 5 kasoro,sugu ana mke mwngine mjamzito na kamvisha pete
Prof jay ana mke mzuri shombe shombe ana mtoto wa kike mw atakua form one kazuri sana
Fid q ana mke wa kizungu alishamzalia mtoto na ndoa wamefunga mwaka jana

Jmoe sifahamu
Your missing the point kuoa na kuzaa ni vitu viwili tofauti.FID Q amezaa na mzungu hajamuoa kaoa mswahili
Wasanii wanachelewa kuoa (Aliyeoa ni Prof na ameoa akiwa 40+,FID Q ameoa 35+,AY kaoa 35+) Joe Makini ana watoto 2 but hajaoa
 
Yule anayeishi na fid q ni mswahili,?
Mzungu aliyezaa naye yupo wap
 
Back
Top Bottom