Joh Makini unatia aibu

Kwel watu mnajua kuchafuana, Joh anatembea na Harrier nyeusi ameiandika WEUSI.....
 
kwao na kwake ni tofauti mkuu..
hata kama kwao mambo safi, haimaanishi alale stoo

Kwa hiyo ulitaka alale kwenye bangaloo alafu kwao mbavu za mbwa???
Sisi watu wa kaskazini tunajali kwanza kujenga home sio show off za mjini
 
DON'T JUDGE A BOOK BY IT'S COVER! Kwamba kitabu kikiwa na picha nzuri sana kwan nje au rangi kali sana kwa nje basi yaliyomo yata kua mazuri... who knows bwana labda joh makin na kijichumba chake hicho msemo wako mtoa mada huenda ndani ana dhahabu kisado kime jaa ana waza aanzie wa wapi
 
Mhhhhhhhhhhh ningesema neno endapo tu kama angeiathiri jamii negatively lakini hapo Big noooooo.
 
mwache na simple life yake huwez kujua huku Arush ana nn DAR huko ni ofis tu kwake ni huku kaskazini... Joh Ndo maana akajiita mwamba wa kaskazn... kwao n sinon daraja2.

wana hiace kibao huku arusha
 
huyu jamaa wakati mwingine huwa ana mada za kike sana! nimeanza kuingiwa shaka huenda huyu ni mange, kama walewale waliokuwa wanamshambulia maxence siku zile eti kapanga chumba kimoja mbagala.....yaani nyie inawahusu nini? hizo ni hesabu za mtu binafsi, apange apartment ya milioni mbili ili kuwafurahisha wasemaji ajicheleweshee maendeleo?!! acheni kukaa mnachungulia maisha ya watu ili mpate cha kuongea mitandaoni!
 
manuu we unafikiri anamchafulia basi, wale vijana wako serious sana na wako busy na yao!
 
Last edited by a moderator:
maisha aliyochagua ndio ya kwake.hongera yupo real.real nigga dont fake always
 

Vaa miwani usione Gere
 
Last edited by a moderator:
Hata ndugu yake Nick wa 2 anakaa single room! mimi pia kabla sijaoa niliishi Single room hii inaonyesha walivyojipanga umaarufu wao ukapange nyumba nzima si ndio ndugu/marafiki na VI~CHEN~CHEN~DEE wange/vingehamia na kuweka kambi ya kudumu.
 

Acha upuuzi wako unajuaje kama hajengi.kupanga ni kupanga tu iwe nyumba kubwa cha muhimu ni kujenga.

Alafu unaonekana mtoto wa mama Chamazi na Chanika kuna viwanja vya milioni tatu??????
 
Last edited by a moderator:
acha wivu za kijinga wewe kama mwenzako ana starlet au kapanga chumba kimoja wewe kinakuuma nini! wewe unataka apange kwe full firnished aptmnt au...watu wanaoishi maisha hayo wanaishi kwa ku copy tu fake life, joh kama anaishi hvyo anaishi maisha real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…