Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ukiona shombo usisahau kukamulia ndimu.Na wewe leo ni mtu wa kuongea adabu? Post zako zenye shombo huzikumbuki eeh....au ni mkuki kwa nguruwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona shombo usisahau kukamulia ndimu.Na wewe leo ni mtu wa kuongea adabu? Post zako zenye shombo huzikumbuki eeh....au ni mkuki kwa nguruwe?
WATU BANAAA...SASA INatuhusu nini sisi au wewe anakutia aibu gani,we mkewe?ndugu yake....acha kufatilia maisha ya watuJoh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.
Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.
Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.
Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
WATU BANAAA...SASA INatuhusu nini sisi au wewe anakutia aibu gani,we mkewe?ndugu yake....acha kufatilia maisha ya watu
Too low for u, Labda tu utueleze ulifikaje ghetto kwake hadi uyajuwe yote hayo? wewe ni demu wake?
Kwel watu mnajua kuchafuana, Joh anatembea na Harrier nyeusi ameiandika WEUSI.....
Na wewe kama ni Joh Makini halisi njoo hapa kwa adabu na uoneshe tofauti yako na wabana pua.
Hizi lugha za haters na kupanic waache Diamond Wema na misukule yao. Hapa hatuhubiri ukanda bali Utanzania hata huko kaskazini ukienda utajikuta kumbe upo kusini au mashariki.
JF si sehemu salama kwa yeyote anayesema halafu ndio anafikiri. watu intelectual hapa ndio home.
Aisee Ole wako tukuone maeneo ya Ololo, Ngaleloo, Daraja2, na Matejoo hapa Arusha utawajua WEUSI ni watu wa aina gani!Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.
Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.
Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.
Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Aisee Ole wako tukuone maeneo ya Ololo, Ngaleloo, Daraja2, na Matejoo hapa Arusha utawajua WEUSI ni watu wa aina gani!
Wakuu mnamshambulia mleta mada lkn yeye Alichofanya niile kuonyesha MSANII KIOO cha JAMII manake kuna madogo labda wanamkubali nalabda watatakaa kuiga kz yake sasa.km kz yenyewe km hailipi na mtu analala store wataipendaje hiyo fani...
Ni muongo mpwa....
Wanaopenda kuiga wakaige utajiri wa Mengi Bakhresa na Mo Dewji, tuondolee upumbavu wako hapa.
Ha ha ha.... Ukweli unauma kumbe mpaka kaja,