Joh Makini unatia aibu

Joh Makini unatia aibu

Mleta thiridii acha gere..kama vip vaa miwan coz joh makin yupo makin na hana kwereeee
 
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli

angekua ameanzisha yule choko warumi wala hata wasingesema its personal ..........

Grand PA
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa mtoa mada atakuwa kwao ni wakiume pekee ana wadada wengi afu bado anaishi kwao..maana anaongea shudu..
 
"Sanaa isiwe ngazi ya kutengeza maskini wenye majina makubwa!... Sanaa iwe ni kazi".

Hii ni mistari kwenye wimbo wa Lord Eyes na Joh Makini!

Ukitafsiri hii mistari utaelewa kwa nini Joh Makini anakaa kwenye chumba kimoja, sanaa bado haijawalipa kama tunavyodhani. Imesababisha tuwajue tu.
 
Ukisikia ushakunaku ndio huu yeye bachelor nyumba nzima ya nini atafuga panya bure.
 
watu wa hip hop wana mapenzi ya kweli hadi kwa mashabiki wao!...najaribu kufikiria nje ya box kama uzi ungesomeka hivi "ommy dimpoz unatia aibu kupanga chumba kimoja"..............wengi wanaosema hii ya joh makini ni personal wengi wao angetajwa mtu kama ommy dimpoz au brazameni yeyote wangetimba sana!.....anyway hii ndo hip hop:cool2:
 
angekua ameanzisha yule choko warumi wala hata wasingesema its personal ..........

Grand PA
pia wanaangalia unayemzungumzia ni nani?ingekuwa unamkandia diamond ungekula support ila umemtimba hip hop!hahahah!......ila na wewe una udada flani!warumi ni demu ndo maana ila kama na wewe demu fresh hizi mada zako mzuka ila kama wa kiume jiangalie
 
watu wa hip hop wana mapenzi ya kweli hadi kwa mashabiki wao!...najaribu kufikiria nje ya box kama uzi ungesomeka hivi "ommy dimpoz unatia aibu kupanga chumba kimoja"..............wengi wanaosema hii ya joh makini ni personal wengi wao angetajwa mtu kama ommy dimpoz au brazameni yeyote wangetimba sana!.....anyway hii ndo hip hop:cool2:

Dah hip hop ina heshima yake bwana hata kimaishairi ina gusa matatizo ya kijamii pia mfano mada ya daimond au dimpozi huwa wanashambuliwa kwa sababu wanavojiweka wenyewe viskendo na upuuzi mtu ukijiheshimu wala ushambuliwi kama akina Ay Jide Mwana Fa ni wenyewe tu wanavojiweka kiuswahili swahili
 
pia wanaangalia unayemzungumzia ni nani?ingekuwa unamkandia diamond ungekula support ila umemtimba hip hop!hahahah!......ila na wewe una udada flani!warumi ni demu ndo maana ila kama na wewe demu fresh hizi mada zako mzuka ila kama wa kiume jiangalie

kwani ww ni wa kike au wakiume?! sikuelewi ujue, embu someka km vp nikutolee posa kabisa ...... by the way nimeelewa kumbe ni kw kua amemtimba mwana harakati hahahaha..........

Grand PA
 
Ni kweli joh makini anakaa geto moja tu changanyikeni..mziki unalipa tatizo vijana wetu hawajipangi., one day tulikutana na joh makini kwenye bar moja mwenge aisee nilishangaa sana yani mavaz aliyovaa yani full milegezo., nilishangaa sana. Yupo na jamaa zake wa Kitaa wanakula nyagi yani ful ushamba..
 
Haters leave my life,mamako,dadako,shangaziako wanatamani kuwa na bwana kama mimi Hunijui vizuri na wala sibishani nawe maana si wa kask hatubishani kwa maneno tu ila kwa.....
 
Haters leave my life,mamako,dadako,shangaziako wanatamani kuwa na bwana kama mimi Hunijui vizuri na wala sibishani nawe maana si wa kask hatubishani kwa maneno tu ila kwa.....
Na wewe kama ni Joh Makini halisi njoo hapa kwa adabu na uoneshe tofauti yako na wabana pua.

Hizi lugha za haters na kupanic waache Diamond Wema na misukule yao. Hapa hatuhubiri ukanda bali Utanzania hata huko kaskazini ukienda utajikuta kumbe upo kusini au mashariki.

JF si sehemu salama kwa yeyote anayesema halafu ndio anafikiri. watu intelectual hapa ndio home.
 
Siongei sana but time will say nimevikwa crawn na watu wa mitaa ndo maana siko kama hao mnaowajua WEUSI daily hatufuati sijui nani anafanya nini sijui game limekuwaje.Nimefungua account Jf special kwa hii thread ya huyu mbulula narudia tena MUDA NDO UTAKAOSEMA ila kwa Mwamba mtangoja sana,kwa hii TZ hakuna wa kumweza Mwamba kwa.....
 
ImageUploadedByJamiiForums1409038654.869468.jpg

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Siongei sana but time will say nimevikwa crawn na watu wa mitaa ndo maana siko kama hao mnaowajua WEUSI daily hatufuati sijui nani anafanya nini sijui game limekuwaje.Nimefungua account Jf special kwa hii thread ya huyu mbulula narudia tena MUDA NDO UTAKAOSEMA ila kwa Mwamba mtangoja sana,kwa hii TZ hakuna wa kumweza Mwamba kwa.....

i doubt kama wewe ni joh makini....ila kama ni wewe basi wewe ni bonge la pimbi!...siku ulizokaa dar es salaam tangu uhamie kutoka mkoani hazijakusaidia
 
i doubt kama wewe ni joh makini....ila kama ni wewe basi wewe ni bonge la pimbi!...siku ulizokaa dar es salaam tangu uhamie kutoka mkoani hazijakusaidia

Sidhani kama ni yeye, nadhani kuna choko ndio amefungua hiyo ID, unajuwa licha ya umaarufu wa JF lakini bado kuna wajanja kibao hawajasanuka wao wanajuwa Facebook na viblog vyao vilivyojaa kama utitiri tu.

Siku moja nilikuwa na Sugu Sinza kuna thread nikawa namsanuwa iko JF lakini licha ya kuwa ni mtoto wa mjini JF ameisikia kwangu kwa mara kwanza tena nakumbuka tulikuwa na Wenje pia.
 
Na wewe kama ni Joh Makini halisi njoo hapa kwa adabu na uoneshe tofauti yako na wabana pua.

Hizi lugha za haters na kupanic waache Diamond Wema na misukule yao. Hapa hatuhubiri ukanda bali Utanzania hata huko kaskazini ukienda utajikuta kumbe upo kusini au mashariki.

JF si sehemu salama kwa yeyote anayesema halafu ndio anafikiri. watu intelectual hapa ndio home.
Na wewe leo ni mtu wa kuongea adabu? Post zako zenye shombo huzikumbuki eeh....au ni mkuki kwa nguruwe?
 
Back
Top Bottom