Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli
pia wanaangalia unayemzungumzia ni nani?ingekuwa unamkandia diamond ungekula support ila umemtimba hip hop!hahahah!......ila na wewe una udada flani!warumi ni demu ndo maana ila kama na wewe demu fresh hizi mada zako mzuka ila kama wa kiume jiangalie
watu wa hip hop wana mapenzi ya kweli hadi kwa mashabiki wao!...najaribu kufikiria nje ya box kama uzi ungesomeka hivi "ommy dimpoz unatia aibu kupanga chumba kimoja"..............wengi wanaosema hii ya joh makini ni personal wengi wao angetajwa mtu kama ommy dimpoz au brazameni yeyote wangetimba sana!.....anyway hii ndo hip hop:cool2:
pia wanaangalia unayemzungumzia ni nani?ingekuwa unamkandia diamond ungekula support ila umemtimba hip hop!hahahah!......ila na wewe una udada flani!warumi ni demu ndo maana ila kama na wewe demu fresh hizi mada zako mzuka ila kama wa kiume jiangalie
Na wewe kama ni Joh Makini halisi njoo hapa kwa adabu na uoneshe tofauti yako na wabana pua.Haters leave my life,mamako,dadako,shangaziako wanatamani kuwa na bwana kama mimi Hunijui vizuri na wala sibishani nawe maana si wa kask hatubishani kwa maneno tu ila kwa.....
Siongei sana but time will say nimevikwa crawn na watu wa mitaa ndo maana siko kama hao mnaowajua WEUSI daily hatufuati sijui nani anafanya nini sijui game limekuwaje.Nimefungua account Jf special kwa hii thread ya huyu mbulula narudia tena MUDA NDO UTAKAOSEMA ila kwa Mwamba mtangoja sana,kwa hii TZ hakuna wa kumweza Mwamba kwa.....
i doubt kama wewe ni joh makini....ila kama ni wewe basi wewe ni bonge la pimbi!...siku ulizokaa dar es salaam tangu uhamie kutoka mkoani hazijakusaidia
Na wewe leo ni mtu wa kuongea adabu? Post zako zenye shombo huzikumbuki eeh....au ni mkuki kwa nguruwe?Na wewe kama ni Joh Makini halisi njoo hapa kwa adabu na uoneshe tofauti yako na wabana pua.
Hizi lugha za haters na kupanic waache Diamond Wema na misukule yao. Hapa hatuhubiri ukanda bali Utanzania hata huko kaskazini ukienda utajikuta kumbe upo kusini au mashariki.
JF si sehemu salama kwa yeyote anayesema halafu ndio anafikiri. watu intelectual hapa ndio home.