Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwao na kwake ni tofauti mkuu..
hata kama kwao mambo safi, haimaanishi alale stoo
Too low for u, Labda tu utueleze ulifikaje ghetto kwake hadi uyajuwe yote hayo? wewe ni demu wake?
mwache na simple life yake huwez kujua huku Arush ana nn DAR huko ni ofis tu kwake ni huku kaskazini... Joh Ndo maana akajiita mwamba wa kaskazn... kwao n sinon daraja2.
haya sasa MCHUNGUZI HURU naona umezowea kuchunguza chupi!Acha uongo,,, joh makini amepanga nyumba nzima na wanaishi jirani na peter msechu na ni majirani zangu. Usiongee ulichosikilizishwa.
Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.
Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.
Joh Makini anaendesha Starlet baada ya kuuza ile Mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.
Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)
Wanaopenda kuiga wakaige utajiri wa Mengi Bakhresa na Mo Dewji, tuondolee upumbavu wako hapa.