Joh Makini unatia aibu

WATU BANAAA...SASA INatuhusu nini sisi au wewe anakutia aibu gani,we mkewe?ndugu yake....acha kufatilia maisha ya watu
 
acheni wivu wa kijinga nyie mnayeponda joh makini....mnataka awe anaishi kama jay z au
 
WATU BANAAA...SASA INatuhusu nini sisi au wewe anakutia aibu gani,we mkewe?ndugu yake....acha kufatilia maisha ya watu

si ndo hapo naona mtoa mada anakaa kwenye hekalu na anaendesha gari la miln 300 basi
 

Ha ha ha!!!! Matola huwa unafurahisha sana na majibu yako loh!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee Ole wako tukuone maeneo ya Ololo, Ngaleloo, Daraja2, na Matejoo hapa Arusha utawajua WEUSI ni watu wa aina gani!
 
Hahahahaha Jama hiyo ni Thug Life bado anahustle wenyewe wanavyodai kihardcore
 
Wakuu mnamshambulia mleta mada lkn yeye Alichofanya niile kuonyesha MSANII KIOO cha JAMII manake kuna madogo labda wanamkubali nalabda watatakaa kuiga kz yake sasa.km kz yenyewe km hailipi na mtu analala store wataipendaje hiyo fani...

Aisee dont generalize the problem! tatizo sio fani kwani hakuna wenye fan hiyo na maendeleo kimaisha? its either a failure- plan or target that makes him where he is now.
 
Wanaopenda kuiga wakaige utajiri wa Mengi Bakhresa na Mo Dewji, tuondolee upumbavu wako hapa.

Mkuu umeelewa vzr Ulrich I and oka hapo....Wee unadhani watu wangekuwa wanaiga mambo ya maana NCH hii ingekuwa hivi....!!!!
 
Ha ha ha.... Ukweli unauma kumbe mpaka kaja,

Sasa ndo anaharibu kama kweli ni yeye,tutamdharau sasa hivi,maana sijaona la maana analoliongea tangu kaingia humu,crappy!
 
Tatizo wana hiphop wana usela wa kizamani, kwao bangi, gambe, madem,vurugu ndio vitu wanavyovipa kipaumbele..hawana maendeleo yoyote kuanzia hao akina joh makini ,weusi, nako 2 nako wote walewale, bora jcb amepata mbibi wa kizungu anamlisha.
 
Mchunguzi huru Jo amejenga huko huko Changanyikeni, fanya uchunguzi wako.
 
Tabia nyengine za kike ukija huku kwenu mtu kama ww unageuzwa unashikishwa ukuta. Hata alale nje ww yanakuhusu nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…