Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli
Hata mimi nikiwa na kazi ya muda mrefu mbali na home,napanga ka chumba kamoja, mbona wabunge wa bunge la katiba nao wanapanga chumba kimoja tena wanashea, makini yuko dar kikazi zaidi,kama anatumia asilimia sabini ya siku za mwaka AR,bangaluu la nini?
joh makini amepanga changanyikeni, nyuma ya udsm. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.
Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.
Joh makini anaendesha starlet baada ya kuuza ile mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.
Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???
Dr. mchunguzi huru (phd)
Mleta mada hazungumzii kwao anamzungumzia joh!Acha hizo wewe,joh n jirani yangu hom arusha daraja 2,kwao pako vizuri si kitoto wana mjengo wa maana