Joh Makini unatia aibu

Joh Makini unatia aibu

Kuna Thread jamaa wanamdiss Nikki Mbishi kwa kusema wenzao wakina Joh wana mafanikio, haya sasa turejee hapa
 
Ulimwengu 2lionao watu kama ww niwakutolewa kafara yy maisha yake yanakuhusu nn au mwanaume picha haya mambo mpe dada yako ampelekee huko anapoenda kukunjwa
 
Humu ndani naona kuna watu wenye haki ya kujadiliwa kama wema, aunt ezekiel n.k lakini wakijadiliwa wengine basi mleta mada ataambiwa kaingilia personal life.
Humu ndani kuna wenye haki ya kupost umbea wowote hata usiokuwa na mashiko lakini akipost mwingine ataambiwa ni ......
Kazi kweli kweli

Umenena mkuu
 
Hata mimi nikiwa na kazi ya muda mrefu mbali na home,napanga ka chumba kamoja, mbona wabunge wa bunge la katiba nao wanapanga chumba kimoja tena wanashea, makini yuko dar kikazi zaidi,kama anatumia asilimia sabini ya siku za mwaka AR,bangaluu la nini?

Safi hiyo
 
joh makini amepanga changanyikeni, nyuma ya udsm. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu.

Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike mahala apange walau vyumba viwili.

Joh makini anaendesha starlet baada ya kuuza ile mazda, basi ni bora auze hiyo starlet kwa milioni tano au sita akatafute kiwanja chake hata chamazi au chanika aanze kujenga nyumba yake taratibu.

Kweli hip hop hailipi, yani miaka yote aliyofanya music bado anaishi chumba kimoja???

Dr. mchunguzi huru (phd)

wanaume wa dar bana haya ndo mnayoyaweza tu. Umbea umbea
 
Last edited by a moderator:
Uongo jamani peupe hebu fikirieni joh m. Ni mtu wakitamboo kwenye muziki zile posho matamasha hata nyimbo zikitokaga nakuuzika jamani akodi chumba kimoja sasa kwa umbeya ninao ujua amejenga huku ar natena kamjengea maza ake so wewe imekula kwako uongo sio mzuri nakumchafulia mwenzio kama amekupita fanya biidii kijanaa
 
Back
Top Bottom