Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Hilo ziwa Victoria ningekuwa Mbunge wa EALA ninge table hoja binafsi kwa maslahi ya umma kubadilisha jina toka Lake Victoria (Queen Victoria) kuwa ziwa Nyanza au Nyanja. Hii ni kwasababu Kenya jimbo/mkoa unaopatikana ziwa hilo unaitwa Nyanza Province, Tz nako makabila mengi yanayozunguka ziwa hilo yana msamiati unaoitwa Nyanja ukimaanisha ziwa, kwa upande wa Uganda nako msamiati Nyanja upo, hivyo Nyanja au Nyanza ni standard derivative compound noun which is eulogious in instinct kwa nchi zote zenye share kwenye ziwa hili Tz 51%, Kenya 6% na Uganda 43%.Watu weupe wana propaganda flani za kiajabu ni kweli yaweza kuwa whiteman wakwanza kufika eneo fulani ila watabadili stori. Hivyo hivyo walifanya kwa ziwa Victoria na zaidi.