Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

Na mitaala yetu ya elimu inawakaririsha watoto wetu jambo la kijinga kama hili kama vile ni kitu chenye mantiki kinachoweza kuwasaidia wanetu kubuni rockets za kwenda Mars.

Ujinga kama huu unapaswa kuondolewa kwenye mitaala yetu.
 
Mitaala ya nchi zetu hizi inaamuliwa na kutengenezwa na wazungu kwa kivuli cha Unesco tena inakuja na masharti ya lazima na pia inakuja na ahadi za misaada na mikopo kama mtaitekeleza. Kuna wakati michezo iliondolewa mashuleni, wakwe zetu wazungu walitaka michezo ife ili tukose sifa za kucheza makombe ya dunia kwenye michezo mbalimbali. Wanatupa mitaala inayotufanya tuwe exposed kwenye vitu vyao na kuvipenda. Waarabu waliwastukia wakawa na kampeni ya kukataa elimu ya Magharibi (Boko Haram yaani Elimu ya Kimagharibi ni Haramu).
 
Sio boko haram tu na kuna nchi huko Africa magharibi ilifuta somo la historia (topic za colonialism na capitalism) maana waliona lina waaibisha na kuwajengea watoto akilin mwao kuwa wao ni weak toka zaman na kuwapandisha wazungu
 
Yaani, sisi tumemezeshwa sumu weweee... ndiyo maana tunajiona wadhaifu mbele ya wazungu kwenye kila kitu. Mitaala hii ina matatizo kibao (inatu-limit), mfano pale Muhimbili pamoja na uwekezaji mkubwa wa kitaalamu na vifaatiba vya kisasa bado upasuaji wa kihistoria hauwezi kufanywa na Madaktari (Maprofesa) wa ndani hadi kuwe na visiting doctor kutoka kwa weupe (nje ya Afrika). Wakimaliza kuwaongoza wataalam wa ndani kufanya upasuaji huo ndipo Press zinaitwa na kupublish kwamba taasisi yetu ya tiba imefanya upasuaji wa kihistoria. Cha ajabu, hao visiting doctors na hawa wa nyumbani wote wamesoma mtaala mmoja tena huko huko ughaibuni. Somewhere somehow something is wrong.
 
-----the first European....... yaani ni mzungu wa kwanza, siyo mtu wa kwanza..
 
Kabla ya Christopher Columbus kufika huko Amerika, kuna jamaa alishafika kabla yake sema jamaa hakutaka kiki
 
Atakua aligundua wakati Wachaga wanaishi tayari, na kwa hiyo ugunduZi unaotajwa hapa utakua ule wa mabeberu wenzie, ila siamini kama Wachaga walikua hawaishi, hawajauona huo mlima
 
Nakumbuka,Mr ebo aliimba maneno mbofu mbofu.
 
Kabla ya Christopher Columbus kufika huko Amerika, kuna jamaa alishafika kabla yake sema jamaa hakutaka kiki
Ndio tunarudi palepale suala la documentation ni tatzo kwa waafrica wengi..Columbus alivyofika America wenyeji wakamwambia kabisa kuna mtu alishafika kabla yako na katuletea dhahabu hizi hapa na wakampa nyingine arudi nazo ulaya
 
Atakua aligundua wakati Wachaga wanaishi tayari, na kwa hiyo ugunduZi unaotajwa hapa utakua ule wa mabeberu wenzie, ila siamini kama Wachaga walikua hawaishi, hawajauona huo mlima
Labda waafrika walikuwa hawahesabiki kama binadamu kipindi hiko kwa sababu walikuwa hawana elimu na hata ustaarabu ambao wazungu enzi hizo walishatuacha mbali.
 
Kwa maana hiyo yeye ndiye aliyeutengeneza Mlima?
 
hata Ziwa Victoria liligunduliwa na mzungu,jina la Victoria limetokana na malkia wa zamani wa Uingereza.Hilo jina huyo mzungu ndiye aliyelitoa
Tatizo sisi hatuandiki wao wanaandika na wazungu wenzao wanasoma na kujua hivyo vitu kupitia maandishi ya wenzao.
 
Mkuu hii ya nani aligundua mlima Kilimanjaro ilifundishwa kwenye masomo ya historia shule ya msingi na lilikuwa swali la kwenye mitihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…