Tumepigwa sanahata Ziwa Victoria liligunduliwa na mzungu,jina la Victoria limetokana na malkia wa zamani wa Uingereza.Hilo jina huyo mzungu ndiye aliyelitoa
Tatizo sisi hatuandiki wao wanaandika na wazungu wenzao wanasoma na kujua hivyo vitu kupitia maandishi ya wenzao.
Mlima ulikuwepo na watu walikuwepo. Si sahihi kusema Rehbman aligundua mlima Kilimanjaro labda tuseme ni foreigner wa kwanza kuuona mlima kilimanjaro. Hizo ndiyo shortcomings za historia yetu. Utasikia Speke kagundua hiki, Livingstone kagundua kile wakati kulikuwa na wenyeji toka enzi. There is a need to rewrite our historyNi maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁.
Johannes Rebmann.
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na bwana Johannes rebmann ambaye alikuwa mmissionary kutoka Ujerumani mnamo 1848.
Kutokana na bwana huyo aliyekuwa na mwenzake aitwaye Johann Lidwig Krapf, habari ziliweza kusambaa maeneo mengi ya ulaya kuwa kuna mlima wenye kilele cha barafu karibu sana na ikweta. Lakini habari hizo hazikuaminika kwa watu mpaka miaka kadhaa baadae.
Umetisha brooo!😱😁😁😁😂Nikiwa mtoto nilidhani Dr Leakey mchambuzi wa mpira ndiye Dr Leakey niliyefundishwa kwamba amegundua fuvu la mtu wa kwanza.
I spent years wondering mbona Dr Leakey hazeeki? Au ni vampire
Aibu kubwa sana. Upo umuhimu wa kuandaa vitabu vya historia viendane na uhalisia ulioopo. Hii habari walisoma mababu zetu kwa kutumia vitabu vya mzungu, haiwezekani tuendelee nayo. Kama watoto wanasoma hivi, itakuwa wanapotoshwaNi maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁.
Johannes Rebmann.
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na bwana Johannes rebmann ambaye alikuwa mmissionary kutoka Ujerumani mnamo 1848.
Kutokana na bwana huyo aliyekuwa na mwenzake aitwaye Johann Lidwig Krapf, habari ziliweza kusambaa maeneo mengi ya ulaya kuwa kuna mlima wenye kilele cha barafu karibu sana na ikweta. Lakini habari hizo hazikuaminika kwa watu mpaka miaka kadhaa baadae.
Hili la kusema ndiye aliygundua mlima mbona ni waafrika wenyewe ndiyo wanajichanganya na kusema? Ukisoma kwenye machapisho ya watu wa Ulaya, wao wameeleza kuwa ni mtu wa Europe wa kwanza kuugundua. Ila waafrika ndiyo waliamua kuwafundisha watoto wao kuwa alikuwa mzungu. Kosa la nani?Mlima ulikuwepo na watu walikuwepo. Si sahihi kusema Rehbman aligundua mlima Kilimanjaro labda tuseme ni foreigner wa kwanza kuuona mlima kilimanjaro. Hizo ndiyo shortcomings za historia yetu. Utasikia Speke kagundua hiki, Livingstone kagundua kile wakati kulikuwa na wenyeji toka enzi. There is a need to rewrite our history
Mabeberu wa Wikipedia ni hao hapa:Mabeberu kutoka Wikipedia wanasema hivi.
Johannes Rebmann (January 16, 1820 – October 4, 1876) was a German missionary, linguist, and explorer credited with feats including being the first European, along with his colleague Johann Ludwig Krapf, to enter Africa from the Indian Ocean coast
. In addition, he was the first European to find Kilimanjaro.[1] News of Rebmann's discovery was published in the Church Missionary Intelligencer in May 1849
Hii mada yako reference yako sijui wapi inayodai kuwa yeye ndie aliegundua mlima Kilimanjaro.
Swali lako si kichekesho. Kugundua ni kazi ya kiakili. Kwa hiyo, kitu kinaweza kuwepo miaka mingi lakini hakikutambuliwa bado na akili. Basi hakikugunduliwa.kwahiyo mlima haukuwepo kabla ya yeye kugundua?
SEMA MZUNGU WA KWANZA KUONA MLIMA KILIMANJARO.
INA MAANA WACHAGA, WAKAMBA HAWAKUUONA?
ACHENI DHARAU ZENU
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app[/URL
[/QUOTE
"Blasted lier" according to Burning Spear
Ni maajabu sana. Kulingana na machapisho mbalimbali mlima maarufu unaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 3 million iliyopita hakuna mkazi yeyote wa aliwahi kujua kuna mlima mrefu kaskazini mwa Tanganyika hata wale wakazi wenyewe hawakujua 😁.
Johannes Rebmann.
Mlima Kilimanjaro uligunduliwa na bwana Johannes rebmann ambaye alikuwa mmissionary kutoka Ujerumani mnamo 1848.
Kutokana na bwana huyo aliyekuwa na mwenzake aitwaye Johann Lidwig Krapf, habari ziliweza kusambaa maeneo mengi ya ulaya kuwa kuna mlima wenye kilele cha barafu karibu sana na ikweta. Lakini habari hizo hazikuaminika kwa watu mpaka miaka kadhaa baadae.
Wachaga hawakujua kuwa ni mlima ndio maana walishindwa kuutangaza na hata umaarufu ulionao mlima huu leo ni kutokana na ugunduzi huu. Wachagga wa zamani waliamini ilikuwa ni Mungu wao anaowaletea mvua , riziki kuwaondolea mabalaa na mahonjwa akiamka asubuhi lazima.auangalie kwanza. Hivyo kwa mchagga wa kale haukuwa mlimaYaani wenyewe Wachaga hawakuwa na macho, mxiiiiuuu, wamegundua wkt watu wapo hapo hapo.
Wao hawakuita mlima waliita Mungu, hao wazungu wakaleta jina la mlima.Sasa acha tuendelee kuita Mungu tuuWachaga hawakujua kuwa ni mlima ndio maana walishindwa kuutangaza na hata umaarufu ulionao mlima huu leo ni kutokana na ugunduzi huu. Wachagga wa zamani waliamini ilikuwa ni Mungu wao anaowaletea mvua , riziki kuwaondolea mabalaa na mahonjwa akiamka asubuhi lazima.auangalie kwanza. Hivyo kwa mchagga wa kale haukuwa mlima