Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

Mpaka mwanzoni mwa miaka ya 1980 liliitwa ziwa nyanza. Tuliokuwa shuleni miaka hiyo tuliijua kwa jina hilo na hata Atlas za wakati ule ziliaonyesha ziwa hilo liliitwa Ziwa Nyanza. Baada ya Mwinyi kuwa rais hasa baada ya uchaguzi wa 1985 ndipo vurugu za kubadili mifumo ya elimu zilianza na likaanza kuitwa Ziwa Victoria na Mkoa wa ziwa magharibi ukaitwa Kagera.

Nina uhakika ulikuwa wivu wa kijinga wa Watanzania maana waliona jina hilo linawakilisha province ya Nyanza iliyoko Kenya kwa Waluo.
 
Sijui habari zako unatafuta wapi? Mitaala ya Tanzania hakika zilitengenezwa hapo ndani. Pamoja na ugonjwa mkuu wa mfumo wa elimu: kufundisha watoto kwa Kiswahili hadi darasa la 7 halafu kuwaza kuanzia farasa la 8 = Form I watajifunza kitu kwa Kiingereza. Ambacho haiwezekani, na mafanikio imeshindikana kwa miaka mifululizo. Simjui mtaalamu yeyote kimataifa anayeona ni kitu kizuri.

Naona heri kuacha kulio eti wako hao wabaya wa nje (mabepari, weupe, buluu, sijui nani tena) ambao kwa sababu zisizoeleweka wanataka kuzuia mafanikio ya nchi hii. Nguvu iko ndani, inapatikana na inazuiliwa hapa ndani.
 
Hahahahahahah wanazingua mlima ulikuwepo na wachaga walikuwa hapo tena wengine wakiuabudu kabisa
 
Aibu kubwa sana. Upo umuhimu wa kuandaa vitabu vya historia viendane na uhalisia ulioopo. Hii habari walisoma mababu zetu kwa kutumia vitabu vya mzungu, haiwezekani tuendelee nayo. Kama watoto wanasoma hivi, itakuwa wanapotoshwa
Wapi kitabu cha shule kinachosema Rebmann aligundua mlima? Sijaona. Nashangaa watu wakilialia mabaya ambayo yapo kwao kichwani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…