johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe anapita kipindi kigumu snMwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei.
Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei.
RIP mama Mtei
Mlikuwa mnajua kifo ni kwa ajili ya wale msiowapenda tu? Huyo mama sada hivi nae ashakua mwendazake,Mbowe anapita kipindi kigumu sn
sijakuelewaMlikuwa mnajua kifo ni kwa ajili ya wale msiowapenda tu? Huyo mama sada hivi nae ashakua mwendazake,
Hana maadui kama diktetaHuyo mama mkwe nae ashakuwa mwendazake
Mbowe alishamwaga mwanae akachukua libavicha limoja linaitwa Joyce Mukya ,Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei.
Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei.
View attachment 1899390
RIP mama Mtei
Acha akome wakati mnashangilia kifo cha JPM hamkujua wakati wa Mungu unakujaMbowe anapita kipindi kigumu sn
Mbowe anasoma hii akiwa sero gani huko lumpangoPole sana Mzee Mtei, pole sana Mh. Mbowe, pole sana Mama Mbowe, poleni ndugu na wanafamilia kwa msiba huu.
Mungu mwenye uweza wote awapeni ujasiri na unyenyekevu katika kuyapokea mapenzi yake. Na katika hili Mungu awaimarisheni zaidi, ili hata katika hili, ukuu wa Mungu wetu ukazidi kuonekana na kustawi.
Pumziko la milele umpe Ee Bwana, na Mwanga wa milele umjalie mtumishi wako.
Da kweli mkuu! Hawa chadema wengi wao wajinga sana walishangia sana kifo cha Magufuli kama wao hawatakufa wala kufiwa!Acha akome wakati mnashangilia kifo cha JPM hamkujua wakati wa Mungu unakuja
USSR
Kuna kanuni muhimu sana katika Imani. Ukimtendea mtu wema na wewe wema huohuo utakurudia kwa njia tofauti.Huyo mama mkwe nae ashakuwa mwendazake
Yaani wewe, ni zaidi ya SHETANI!Mbowe alishamwaga mwanae akachukua libavicha limoja linaitwa Joyce Mukya ,
USSR
Mbowe alishangilia?Da kweli mkuu! Hawa chadema wengi wao wajinga sana walishangia sana kifo cha Magufuli kama wao hawatakufa wala kufiwa!