Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Umeandika upumbavu na ujinga mkubwa.Kuna kanuni muhimu sana katika Imani. Ukimtendea mtu wema na wewe wema huohuo utakurudia kwa njia tofauti.
Likewise ukifurahia mabaya kwa mwenzako na wewe baya hilohilo litakujia kwa njia nyingine. Bahati mbaya sana ngozi yetu hii imejaa Ubinafsi, hatukujaaliwa huruma kwa watu wasiotuhusu.
Ndio maana hata humu JF ukifuatilia taarifa za kuugua au misiba utaona comments za watu na DHIHAKA nyingi Simply they don't share the same Ideology etc.
Sometime tunapatwa na changamoto ngumu katika familia zetu lakini pengine ni mambo kama haya. Upo kwenye keyboard unadhihaki Msiba wa hasimu wako ktk siasa then siku kadhaa unauguliwa au kufiwa na WEWE UNAKOSA AMANI NA KUFEDHEHEKA.
Jamani hii kanuni inaishi na inazingatiwa sana na wenzetu wa Imani za BUDDHISM
Huyo mama ashakua mwendazake, huko analipwa kwa kadri ya mabaya aliyofanya