Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
AaahhhAngekuwa uraiani angezuia kifo cha mama mkwe wake? Au ni wakati gani ngumu unaousemea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahhhAngekuwa uraiani angezuia kifo cha mama mkwe wake? Au ni wakati gani ngumu unaousemea?
Hakika kifo chako wewe mtakatifu kitakuwa huzuni kwa ulimwenguKifo cha mtu dhalimu ni sherehe kwa waliohai
Kwahiyo magufuli hakutakiwa kufa yeye ni nani?,jeuri na ujuaji wake wa kishamba ndio vilifanya watu washangilie kifo chakeAcha akome wakati mnashangilia kifo cha JPM hamkujua wakati wa Mungu unakuja
USSR
Ulishangilia wewe mpumbavu huna maana.Kwahiyo magufuli hakutakiwa kufa yeye ni nani?,jeuri na ujuaji wake wa kishamba ndio vilifanya watu washangilie kifo chake
Hata wengi wanaojichoma nakupigana risasi huko dar nihao waoza meno!Maghufuli anaendelea kuwakarbisha tuu, sa hv kila mmoja apambane na Hali yake ...!! Sisi wa kanda ya ziwa tulizika mzoga wetu Kwa matusi na kejeli ni zamu Yao kuzika mizoga Yao , watajijua
Vifo vimeongezekaSijui ni kwamba vifo vimeongezeka au watoa taarifa za vifo ndio walioongezeka?
Ni kweli, mmoja hufa na mwingine hupalizwa huku akisindikizwa na ngoma, nderemo, vifijo na vigelegeleKifo cha mtu dhalimu na kifo cha mtu mwenye haki havifanani
Ni kweli tuko shwari na bring back Gaidi tu hakuna matatizo.mtu alikuwa anaua watu anateka watu anapora uchaguzi mkuu...mtu kama huyo akifa kwa nini watu wasifurahi???...tangu aondoke Tanzania imekuwa shwari kabisa kwa nini watu wasifurahi??? Biblia yenyewe imeandika kiongozi muonevu akifa watu hufurahi
Hakika wote wanaokufa Sasa wamefikisha umri unaostahili kifo, wewe mungu mpanga vifo vyao umenena..Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika. Huyo bibi ameshafikisha miaka ya biblia hata akifariki ni sawa ili akapumzike.
Kile kifo cha dhalimu si kwamba tu tulishangilia, bali hadi sasa tuko kwenye furaha ya ajabu.
Haya yote kisa ni ukabila ni ujinga wa sie, dini hapa wazungu na waarabu wametuteka akili, siasa ama vyama vya siasa zinatugawa.Kuna kanuni muhimu sana katika Imani. Ukimtendea mtu wema na wewe wema huohuo utakurudia kwa njia tofauti.
Likewise ukifurahia mabaya kwa mwenzako na wewe baya hilohilo litakujia kwa njia nyingine. Bahati mbaya sana ngozi yetu hii imejaa Ubinafsi, hatukujaaliwa huruma kwa watu wasiotuhusu.
Ndio maana hata humu JF ukifuatilia taarifa za kuugua au misiba utaona comments za watu na DHIHAKA nyingi Simply they don't share the same Ideology etc.
Sometime tunapatwa na changamoto ngumu katika familia zetu lakini pengine ni mambo kama haya. Upo kwenye keyboard unadhihaki Msiba wa hasimu wako ktk siasa then siku kadhaa unauguliwa au kufiwa na WEWE UNAKOSA AMANI NA KUFEDHEHEKA.
Jamani hii kanuni inaishi na inazingatiwa sana na wenzetu wa Imani za BUDDHISM
Kazaliwa mwaka 1942, sio haba kaishi muda mrefu, Mungu aitie nguvu familiaMlikuwa mnajua kifo ni kwa ajili ya wale msiowapenda tu? Huyo mama sada hivi nae ashakua mwendazake,
Aitiaje nguvu ikiwa tayari huyo mama kishakua mwendazake?Kazaliwa mwaka 1942, sio haba kaishi muda mrefu, Mungu aitie nguvu familia
Saa ngapi mkuu?Utaelewa tu
Yule watu walifanya sherehe kabisaWanataka kulinganisha na yule ibilisi
MUNGU atamuinuaSanaa sanaaaa.
Waulize wanaomuhusu sherehe ni wapi.Hakika wote wanaokufa Sasa wamefikisha umri unaostahili kifo, wewe mungu mpanga vifo vyao umenena..
Sherehe wapi leo ya kupalizwa kwa mama mtei?