TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

TANZIA Johara Mtei, Mke wa Mzee Edwin Mtei na mkwe wa Freeman Mbowe afariki dunia

Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei.

Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei.

View attachment 1899390

RIP mama Mtei
Mtapiga talalila dana,Tanzania hakuna Corona.Hiyo ni Sukari,HBP,Cancers,Magonjwa ya moyo na Respiratory Systems Problems kwa sababu ya air pollution.Hachanjwi mtu hapa.
 
Kifo tumeimbiwa bunadamu watu wa chadema hujitoa kwenye fungu la kifo
Kwaheri mama
 
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amefiwa na mama wa mke wake ambaye ni mke wa mzee Edwin Mtei.

Poleni sana familia ya Mbowe na Mtei.

View attachment 1899390

RIP mama Mtei
Pole nyingi sana ziende kwa ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya Mzee Mtei. Mola akawape faraja na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu wanachokipitia.
 
Mwendazake Mama Mtei alale mahali panapostahili.RIP mwendazake Johara.
 
Nipo msibani hapa Machame, naona mitandaoni mnapata taabu kuvutana lakini hapa msibani naona ni wazee wa CCM wengi kuliko wana Chadema. Labda kwa sababu huku Uchagani wazee karibu wote ni wanachama au washabiki wa CCM.

Hii asubuhi labda iko hivi, nikirudi kutoka kijijini Uroki nitakuta wana Chadema wengi.

Ila Bim kubwa Ana kichwa, watu wanaongezeka kila dakika ikipita, kwa walevi wa mbege iko bwelele na hata Covid 19 protocals hazifuatwi kabisa.

MKWE WAKE FREEMAN WAMTOE AJE KWENYE MAZISHI.
 
We both know better..... and I don't have to prove that.
Doh

Hua sina mashaka na wanaomfuatilia Zitto, siasa zao hua za hoja sana tofauti na wafuasi wa Mbowe,

Sio kesi lakini, nimeona tu credibility yako humu ni kubwa sana(wengi tunajifunza kutoka kwako) nikaona nisaidie kukurudisha kwenye msitari.
 
Hii ya mkwe ni huku nje kwani hamjui ya ndani, na kutoa pole bila kujua ni usiku wagiza, huko ndani tuulizeni sisi na huwenda hata kifo cha bi mkubwa kimesababiswa na Mfalme wa wanga mwenyewe maana yule mkewe kilasiku kushtaki kwa mamake mpaka kapata presha kafa.
Na watu wengi wanamjua Joyce Mukya tu, ulizeni kamanda kila mkoa na kila wilaya anaamshaga dude mbaya, yaani bora siri-kali hata imemficha watu na wapenzi wao wapumue.
Ndoa ya kanisani ni mume 1 mke 1 basi na aliapa.
Wanaume wengi waliokuwa na wake viti maarumu leo wanamsujudia Mungu kisiri yaani hawasemi.
 
Ila nina uhakika huyo mama hatakuwa na kesi ya mauaji, dhuluma wala utekaji nyara watu mbele za Mwenyezi Mungu tofauti na sanamu wenu mliyokuwa mkimuabudu.
 
Malipo ni hapa hapa Duniani ahera kuhesabiwa tu....kwa waliofurahia kifo cha Rais Magufuli wanakumbwa kipindi hiki nawashauri WAKATUBU
Bado naendelea kushangilia kifo cha Hamnazo, azidi kuoza huko aliko.
Hili si kwa sababu za ideologies bali ukatili, mateso, kupotezwa na mauaji aliyokuwa akiyafanya kwa kutumia 'mbwa' wake.
 
Hii ya mkwe ni huku nje kwani hamjui ya ndani, na kutoa pole bila kujua ni usiku wagiza, huko ndani tuulizeni sisi na huwenda hata kifo cha bi mkubwa kimesababiswa na Mfalme wa wanga mwenyewe maana yule mkewe kilasiku kushtaki kwa mamake mpaka kapata presha kafa.
Na watu wengi wanamjua Joyce Mukya tu, ulizeni kamanda kila mkoa na kila wilaya anaamshaga dude mbaya, yaani bora siri-kali hata imemficha watu na wapenzi wao wapumue.
Ndoa ya kanisani ni mume 1 mke 1 basi na aliapa.
Wanaume wengi waliokuwa na wake viti maarumu leo wanamsujudia Mungu kisiri yaani hawasemi.
Wewe acha umbeya kama mwanamke, hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe "Impotent" kama wewe.

Hii kitu hata wanaojiita viongozi wa kidini uzalendo unawashinda au wewe nawe ni mwanamke wivu wa kumtamani Mbowe ndio unakuua.

Unakumbuka yule mungu wenu feki aliyekufa naye alilalamikiwa kwamba alimpeleka mume wa mtu ubalozini baadaye akampa uwaziri mke wake "Mweupe" na kisha ilidaiwa eti alimzalisha mtoto. Jamaa alikuwa anahusudu sana wanawake weupe japo alishindwa kuwaowa. Wanaume wote duniani tuko hivyo.
 
Back
Top Bottom