chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Tatizo mboga 7Mwenyewe Nina kiu ya mke Sana unaweza kukaa kwenda shamba kumi na mbili asubuh kurudi kumi na mbili jioni mi nategemea kilimo ndo kazi na biashara yangu kubwa
Mi nishazoea nyanya chungu, bamia pemben pitiku na dona nikibadili Sana dagaa Nyasa atawezaTatizo mboga 7
Mama yangu!!!!! hataweza[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mi nishazoea nyanya chungu, bamia pemben pitiku na dona nikibadili Sana dagaa Nyasa ataweza
Huna habari gen?Hutufai kwenye chama cha SHILAWADU!kumbe ana mtoto?
hahaahaaa!nliskiaga tetesi Ila sikuzitilia maanani!Huna habari gen?Hutufai kwenye chama cha SHILAWADU!