Johari: Nimeshakua sasa, kiukweli nina kiu ya mume

Johari: Nimeshakua sasa, kiukweli nina kiu ya mume

Katika kitu ambacho hawezi kuja kukisahahau Johari Ni kumchezeya Lafu McDonald Mbaba wa Watu hakuwa Na mke Na Pesa alikuwa nazo..akampa Pesa Johari kama milioni 36 kutengenexea Move ya kwako wote ili iwaingizie kipato Johari akajifanya mjanja kwa kuanzisha Kampuni Na Ray RJ company... huku akimwacha McDonald mnyakyusa wa Watu...kesi ikaendaaa ikaamuliwa wamlipe ..akasamehe..Huku Ray Mara amrudie Mahinda Mara Chuchu Mara Anywe MAJI mengi ili kuwa mweupe..Mara Hataki kutoka kwao ili ajitegemee Mara ivi Mara vile..Huku Johari akipigana Na Umri...mvuto unapotea..nyodo zinapotea...Hii wanawake tujifunze kupitia kwa mwenzetu huyu..Ukishikwa Shikamana...Sasa anakoelekea Na Stress zake ataokota yeyote akidhani anapunguza Maumivu kumbe anadumbukia moyoni Maana alichokuwa anategemea sicho...nilifuatilia sana story ya yule Baba wakati anadhalilishwa Na huku penzi kati ya Ray Na Johari limepamva moto. Baba alisema Anamwachia Mungu..Johari wa enzi zileee anayefuatwa..leoo Anatangaza kutafuta bwana!!! God have mercy!
 
Johari hama Mtoto..yule aliyekuwa anapiga naye mapichaa Mitandaoni mama yake alijitokeza Na kupiga marufuku....Ni wa ndugu yake Ndo Maana kama wanafanana..Anayebisha alete Evidence Hata ya Picha ya Mumba..Wabongo move wanavyopenda Sifa angeshapigaga kapicha ka mimba Haya Rafikizr wapenda ubuyu wangeshatoa habari...Take it from me.
 
hongera zake
ana laana ya MacDonald yule walimtapeli na ray wake yule kaka alimpendaga sana basi tu!
Yan nasikia johar ndo kamtajilisha ray, roho angetulia na McDonald angekua mbali, ila ray ana muheshimu sana johari maana kamtoa kimaisha, that's why awaachani
 
Yan nasikia johar ndo kamtajilisha ray, roho angetulia na McDonald angekua mbali, ila ray ana muheshimu sana johari maana kamtoa kimaisha, that's why awaachani
Ivi Warumi Na ujanja wako wote ivi humjui MTU Tajiri
 
Back
Top Bottom