Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona baba mtoto wake hajamuoa ujue kuna namna hapo.....
Mkuu nafas hiyoSasa pete zote hizo si ntauliza mengi mimi.
Hata hivyo binafsi nashukuru kwa hiyo picha.
Johari anafaa kupewa second chance.
Sisi huwa tunaacha maneno ya akibaHahaaa huyu alisema hawezi kuzaa nje ya ndoa,.. Midomo hii tuwage na breki kidogo jamani
Hebu waambie hawa....hao 20's ndio wale wanaoacha mtoto anaumwa nyumbani kwenda kuwa 'video queen'....presha tupu.Nyie mnaomwita huyu dada mzee mna matatizo, na walio ktk 50s waseme nini? She is not old, neither young ila yuko kwenye umri wa kujitambua na akili imekuwa. Hao 20s mnaowaita vijana ndo shurti ndoa zenu kila siku zimevunjika.
Kabisaa,.. Kuna kuaibika mbeleniSisi huwa tunaacha maneno ya akiba
ujana ule na nani uzee umalizie kwa nani? dada jiangalie!