[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Baada ya kucheza rafu sana sasa anataka mume bora
Umenichekesha sana mkuu.
Huyu sidhani kama kakua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Baada ya kucheza rafu sana sasa anataka mume bora
Wakati unamsema huyo ujue Mungu anakuona. Zinnaatuillah...Baada ya kucheza rafu sana sasa anataka mume bora
Ni matokeo ya hasira, Johari ameruka majoka, still yuko fresh, hot, anaoleka na atampata huyo mume wa ndoto yake.Watu wengi sana wanafiki, wanamuita Johari used wakati walionao hawajawakuta na bikra wala hawajui walikotoka wametembea na wangapi, wengine wameoa na bado wanachapiwa, Joahari kwa kuwa ni msanii maisha yake yamefuatiliwa sana na wengi lakini utakuta hana idadi ya wanaume wengi aliolala nao kama kina fulani sie tunao mtukana hapa. Tuache unafiki alsilimia 99 ya ndoa zilizopo zote ni USED, kuanzia wanawake na wanaume.
Nashangaa! Johari watu wanaweza kuwataja wanaume zake, lakini kuna watu humu hata hawakumbuki idadi ya wanaume waliotembea nao na ambao bado wako nao, sijui kwa nini tunatukanana wakati haiwezi kutupunguzia matatizo yetu, wengi wanaolewa wakiwa na watoto na ndoa zinakuwa tamu tu, eti johari used? kisa mtoto! wapo wanaotoa mimba daily ili wawe fresh lakini unakuta ndio wamechakaa kuliko alie zaa. Unafiki mbaya sana.Ni matokeo ya hasira, Johari ameruka majoka, still yuko fresh, hot, anaoleka na atampata huyo mume wa ndoto yake.
Sasa wenzangu na mie umalaya wamefanya, hawajapata faida na in fakt bado wanaendelea kufanya kwenye 'silent mode'. Mwenzao bado ni staa, dizaini inawauma... Nani sio malaya?
Chunguza chunguza yangu inaonesha kuwa akina bikaka hawajui maumbile ya kike kwa sana, wana mitazamo yao ambayo walishajiaminisha... Bahati mbaya na wana wake wameshindwa kupigania ukweli kuwa kuzaa whatsoever ni jambo la heshima bila kujali umezaa kwenye mazingira gani, muhimu umeijaza dunia na umetimiza maandiko, ndio maana hakuna mtu 'haramu'.Nashangaa! Johari watu wanaweza kuwataja wanaume zake, lakini kuna watu humu hata hawakumbuki idadi ya wanaume waliotembea nao na ambao bado wako nao, sijui kwa nini tunatukanana wakati haiwezi kutupunguzia matatizo yetu, wengi wanaolewa wakiwa na watoto na ndoa zinakuwa tamu tu, eti johari used? kisa mtoto! wapo wanaotoa mimba daily ili wawe fresh lakini unakuta ndio wamechakaa kuliko alie zaa. Unafiki mbaya sana.
Ajabu kubwa ni wanawake kumcheka mwenzao eti kazalishwa na kuachwa, wao wanazuia mimba miaka 20 wakija kushtuka wamejaa fibroids tumboni, na kansa. Kuzaa hakumfanyi mwanamke eti awe na rambo ni mawazo potofu sana. Halafu mbona wanaume wanabikiri na ku acha hao waliowabikiri na kuoa waliobikiriwa na wenzao kama bikra ndio kigezo cha mke?! Johari bado wapo wanaomtamni sana tu.Chunguza chunguza yangu inaonesha kuwa akina bikaka hawajui maumbile ya kike kwa sana, wana mitazamo yao ambayo walishajiaminisha... Bahati mbaya na wana wake wameshindwa kupigania ukweli kuwa kuzaa whatsoever ni jambo la heshima bila kujali umezaa kwenye mazingira gani, muhimu umeijaza dunia na umetimiza maandiko, ndio maana hakuna mtu 'haramu'.
Plus, injini za kuzaa bwana ni tamu... Sijui nani alipotosha huu ukweli.
Yaani Bongo hii tangu tuanze kujaribu kuwa Wazungu basi imekuwa ujinga ujinga tupu. Mimi huchill na wazee watamaduni, bado wana misingi mizuri kuhusu Elimu ya uzazi na maumbile kuliko sisi Kizazi cha T. Na ukipita kwenye njia zao, mbona mwororo tu...Ajabu kubwa ni wanawake kumcheka mwenzao eti kazalishwa na kuachwa, wao wanazuia mimba miaka 20 wakija kushtuka wamejaa fibroids tumboni, na kansa. Kuzaa hakumfanyi mwanamke eti awe na rambo ni mawazo potofu sana. Halafu mbona wanaume wanabikiri na ku acha hao waliowabikiri na kuoa waliobikiriwa na wenzao kama bikra ndio kigezo cha mke?! Johari bado wapo wanaomtamni sana tu.
Hao wanaojidai wanaingia kwenye ndoa bila watoto wengi wamesha athirika na madawa ya kuzuia mimba, mpaka K' ZIMEPOTEZA MVUTO wanaume wanalalamikia MABWAWA full maji kama wamewekewe madimbwi huko.Yaani Bongo hii tangu tuanze kujaribu kuwa Wazungu basi imekuwa ujinga ujinga tupu. Mimi huchill na wazee watamaduni, bado wana misingi mizuri kuhusu Elimu ya uzazi na maumbile kuliko sisi Kizazi cha T. Na ukipita kwenye njia zao, mbona mwororo tu...
si mume tayari alikuwa nae mpaka akazalishwa! au mtoto ni wa ndugu yake![]()
Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa.
Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, amesema umri wake kwa sasa unamruhusu kuingia kwenye maisha ya ndoa
“Mimi ni mwanamke kamili, ni mtu mzima. Nimeshakuwa sasa, kwahiyo kiukweli nina kiu ya mume,” Johari aliliambia gazeti la Mtanzania. “Mungu akinipa mume bora, nitaolewa. Sitaki kuzungumzia sana mambo yaliyopita, lakini muhimu kwa sasa ni mume,”
Mbali na hayo mwingizaji huyo amewataka kukaa mkao wa kula kwa ajili ya filamu yake mpya ambayo amewashirikisha wasanii wachanga kutoka mkoani Mwanza.
Hahahaaaaaamileage ya hatari
Kanda ya ziwa au Uzaramuni??HUKU KWETU UKIFIKISHA MIAKA 14-15-16 HUJAOLEWA TUNATUPA KAPUN YAANI UMEJIKULIA HUFAI TENA
Mungu sio mjinga asee.Baada ya kucheza rafu sana sasa anataka mume bora