Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Kweli kabisa PAULA, hata mimi kuna kipindi niliwahi kupitia hicho unachokisema, mtu akiniona barabaran kwenye gar ananitaman kijana smart ana maisha mazur kumbe moyoni naugua maumivu makali ya mahaba, asikwambie mtu Mapenzi ni kitu kingine ata uwe nani ila kama mahusiano yako hayako poa, basi unajiona huna thaman

Hahahahaaaaa uwiiiii mapenzi haya hayana mwenyewe jamani.....
 
Yes johar kachoka sasa ivi, ila chuchu hampati kwa lolote bado mtoto sana kwa johari

warumi acha kizingua bwana hampati kwa lipi sasa? na mwenye kumiliki dudu ni chuchu??? kwani ugovi wa chuchu na johari ni wa kimaslahi?? hope NOT.
 
Chuchu sio mzurii jamaniii labda karangi tu kanamng'arishaa

binamu ndo ashapewa hvyooo weupe huo huo ndo unamfanya awe mzuri
johari kutwa na pozooo holaaaaa
chuchu kamata fursa twenzetu
 
Hahahahaaaaa uwiiiii mapenzi haya hayana mwenyewe jamani.....

Mahaba yaache tu binamu, unajizugisha wee ila wapi , unajifanya ku post picha za watu wengine whatsap ili ujifalij ila wapi moyo unakataa
 
Hhhhhhhaaaaa kumbe nawe unaumizagwa na mapenziii
 
Hyo kampuni ya chura ni ya vichochoroni, kampuni ya johari imesajiliwa na ina Tin number, sasa huyo chuchu afikirii watu wameachana ila bado wanafanya kazi pamoja, we muache ajishaue kakimbia ndoa yake anaparamia mabwana za watu, huyo johar kila siku anagongana na ray ndo bwana ake na hakuna asiyejua, crew nzima ya rj inalijua hilo

labda wanatimiza masharti ya mganga je?kwenye kulana na ray?!!
mi chuchu nimekubali km nyokoooo alivyombadilisha ray maana ray alikua msiri kwenye mapenzi ila sasa hv ray jamani ig huko ndo amejaa hatari hongera chuchu
 
hebu tuulize kwanza hana lolote
pooooo ndo ray kashabebwa hivyyooo chezea tanga weyyeeeeeeer mapenzi yalikozaliwa
atabaki hatihati johari la chuchu halipati ng'oooooo
Nisha tuliza,kwa raha zako Geniveros......
 
Huyo Ray mwenyewe sio dili kihivyoo mjinii

sass johari analilia nini maana kila siku mafumbo ig
wapppiiii
kula raha chuchu, johari alifanya siri mwenzie anaka hadharini
ray hakumpenda johari na anajuta mpaka kesho bora asingemuacha macdonald ukute angekua katulia na ndoa yake mwenywe pole sana da joha
 
labda wanatimiza masharti ya mganga je?kwenye kulana na ray?!!
mi chuchu nimekubali km nyokoooo alivyombadilisha ray maana ray alikua msiri kwenye mapenzi ila sasa hv ray jamani ig huko ndo amejaa hatari hongera chuchu

Wanatafuta umaarufu ila bahat mbaya chuchu ana kimavi, jina lake lina gundu maana ata aandikwe vip olaaa, ila ukisikia ray na johari watu macho yote juu, ile couple yao iko poa miaka mia
 
warumi acha kizingua bwana hampati kwa lipi sasa? na mwenye kumiliki dudu ni chuchu??? kwani ugovi wa chuchu na johari ni wa kimaslahi?? hope NOT.

Chuchu kwa johari, johar mzuri, chuchu ana sura kama panya, inshort hampati kwa lolote, johar ukimuona live yupo poa tofaut na kwenye media, huyo chuchu bado sana uko nyuma kama pasi ya mkaa
 
Kweli kabisa PAULA, hata mimi kuna kipindi niliwahi kupitia hicho unachokisema, mtu akiniona barabaran kwenye gar ananitaman kijana smart ana maisha mazur kumbe moyoni naugua maumivu makali ya mahaba, asikwambie mtu Mapenzi ni kitu kingine ata uwe nani ila kama mahusiano yako hayako poa, basi unajiona huna thaman

mimi ningepata nafasi ya kumshauri johari ningemwambia amsahau ray for good, uhusiano wao ubaki pale RJ angekuwa bonge la wise women, ila the worse party of it ni kwa vile bado anaamini there is a chance of win him back. hapo anainstole moto wa pasi kwenye moyo wake.
 
Huyo chuchu ana sura kama kasuku hana uzuri wowote, weupe unamsitir bora ata johar kidog sema nae siku izi hana swaga kazubaa sana ila johar ni kisu , ana sura nzur sema ndo vile
Warumi na weye ukichukia mtu utampaka ile mbaya,wacha nimtete Chuchu Mtanga mwenzangu...
 
Wanatafuta umaarufu ila bahat mbaya chuchu ana kimavi, jina lake lina gundu maana ata aandikwe vip olaaa, ila ukisikia ray na johari watu macho yote juu, ile couple yao iko poa miaka mia

johari ana laana ya macdonald yule walimdhulumu na ray ndo wakaanzisha kampuni alijua ataolewa na hamna mapenzi kati yao pale ule usanii ili johar asitoe hisa zake kwenye kampuni ndo maana anambembeleza naye johari jinga
chuchu miss tanga na miss talent nakumbuka mwaka wao chuchu alichezea mwimbo wa sean paul alicheza vizuri hatari
 
Chuchu kwa johari, johar mzuri, chuchu ana sura kama panya, inshort hampati kwa lolote, johar ukimuona live yupo poa tofaut na kwenye media, huyo chuchu bado sana uko nyuma kama pasi ya mkaa

Halaf huyu Ray mchawiii mbona sasa hashindani na mtu kuigiza au kimafanikioo ugreatest wake upo wa sasaaa nimeamini kuna watu hutembelea nyota za wenzaooo
 
Chuchu kwa johari, johar mzuri, chuchu ana sura kama panya, inshort hampati kwa lolote, johar ukimuona live yupo poa tofaut na kwenye media, huyo chuchu bado sana uko nyuma kama pasi ya mkaa

bina ht johari so mzuri wa sifa wa kawaida tu
kingine wanaume hawaangalii uzuri wa sura babaa
graundini unapawezaa asa ye km pale kwa bed sifuri ishakula kwake ye asa hv washee kampuni tu
ht km fighter vp mapenzi ukiwa zero utaishia kucheza kwaito kwenye shughuli za watu
johari mi namkubali sana sanaaa
ila kwa hili atulize kipochi manyonya
 
asante kwa kuunjosha maneno manake warumi amengangania tuu kumsifia johari na ukongwe wake kwenye kazi anasahau kinachowagonganisha ni mapenzi na sio kazi.
 
johari ana laana ya macdonald yule walimdhulumu na ray ndo wakaanzisha kampuni alijua ataolewa na hamna mapenzi kati yao pale ule usanii ili johar asitoe hisa zake kwenye kampuni ndo maana anambembeleza naye johari jinga
chuchu miss tanga na miss talent nakumbuka mwaka wao chuchu alichezea mwimbo wa sean paul alicheza vizuri hatari
mmmh!! upo deep, hata sikumbuki
 
Back
Top Bottom