Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

Johari: Sitaki kusikia habari za Chuchu

mahusiano na ndoa za bongo movies za kijinga sana.
Nilianza kuangalia bongo movies nikiwa mdogo johari hajaolewa,leo naanza kuzeeka bado tu wanagombania kwenye relationship
 
mahusiano na ndoa za bongo movies za kijinga sana.
Nilianza kuangalia bongo movies nikiwa mdogo johari hajaolewa,leo naanza kuzeeka bado tu wanagombania kwenye relationship

ray sio muoaji mshenzi mshenzi
kamchezea mainda kambadilisha na dini akawa anamchanganya na johari
leo kwa chuchu ht chuchu nae ajiangalie pia
 
ray sio muoaji mshenzi mshenzi
kamchezea mainda kambadilisha na dini akawa anamchanganya na johari
leo kwa chuchu ht chuchu nae ajiangalie pia

Wanazeeshwa wakijiangalia hivi hivi
 
Nisaidie binamu, ana uzur gan yule kasuku? Uko nyuma flatscreen la maana, miguu kama ufito wa genge, kichwa kama kagongwa na boda boda, kembamba kama mti wa nsumbo, weupe tu unamsitir angekuwa mweus yule

Tutaaminije kama ana flat screen?hembu weka picha
 
Nisaidie binamu, ana uzur gan yule kasuku? Uko nyuma flatscreen la maana, miguu kama ufito wa genge, kichwa kama kagongwa na boda boda, kembamba kama mti wa nsumbo, weupe tu unamsitir angekuwa mweus yule
ukipiga chuchu mara moja tu lazima ugande aisee..mtoto anadeka mpaka anazimia aisee..Johari naye kazeeka sijui kama atapata mtu mwingine wakujitoa mhanga...ustaadh na musoma aliishia wapi vile?
 
Ray hana jipyaaa hata chuchu kaokota jiwe akidhani ni dhahabu heloooooii

Hawana lolote na couple yao mavimavi...Mimi huyo chuchu nilichoka alivyomuacha mumewe kumbe kisa ni ray?kiukweli sipendi mwanamke anayemchukulia bwana mwenzie...subiri siku ray akipata ki bongo movie kingine atakoma,naona bado hajawajua wanaume japo kazaa na watoto wawili juu...
 
mimi ningepata nafasi ya kumshauri johari ningemwambia amsahau ray for good, uhusiano wao ubaki pale RJ angekuwa bonge la wise women, ila the worse party of it ni kwa vile bado anaamini there is a chance of win him back. hapo anainstole moto wa pasi kwenye moyo wake.

Amsahau kitu gan wakat ray ndo mume wake wametoka mbali na kampuni wamefungua wote, huyo kishumundu zeru zeru sijui chuchu ya ng'ombe au mbuzi akirudishe kwa mumewe frank, Team johar tutamfanyia kitu mbaya ajute maisha yake yote, kaz kuiba mabwana za watu, anajua walipotoka? Na akiendelea ataisoma namba vzur , atarud kwao Tanga uku anaruka kichura chura mfyuuuu maza fantaa
 
hahahahahaaaaa imenibidi nicheke mwee! atarudi tanga akiruka kichura chura sio?
 
Mwambien huyo kishumundu arudi kwa mumewe, si aliolewa ndoa ya kanisan yule? Kinachomfanya kuiba mabwana za watu kitu gan? Tutamkomesha team johari, atarud Tanga uku anaruka kuchura chura *****

binamu humpendi chuchu wewe
hivi unajua frank mtao alishindwana na mzungu huko australia aliko?
km mzungu tena walioana church km sikosei alishindwa how about chuchu?
usiseme tu chuchu
na johari mwache yamkute walimdhulumu macdonald yeye na ray30mils ndo wakafungua kampuni
mkaka wa watu alipagawa johar akajiona ye ndo malkia kwa ray kiko wapi?
always karma is.....
and goes around turn around thousand times..m
usimseme chuchu mseme johari na ujinga wake mana alimuacha alipiga teke almas akaokota shaba
akaingilia uhusiano wa ray na mainda leo mainda hajulikani km mkongwe ktk sanaa
yupo km mkia vile tunaomjua wale wa long t kibongobongo
johari muache ile kwake
 
Hawana lolote na couple yao mavimavi...Mimi huyo chuchu nilichoka alivyomuacha mumewe kumbe kisa ni ray?kiukweli sipendi mwanamke anayemchukulia bwana mwenzie...subiri siku ray akipata ki bongo movie kingine atakoma,naona bado hajawajua wanaume japo kazaa na watoto wawili juu...

mine ungeanza kumchukia johari alimuiba ray kwa mainda
wakawa wanalalwa wote kizamuzamu matala ya kizinzi
mainda akabadili dini ili aolewe wappiii
chuchu na mmewe kikubwa dini tofauti na frank nae ana shida yupo australia alioa akaacha mzungu ndo akaanza kudate na chuchu mnalaumu chuchu wakati kakuta dodo halina mwenyewe wanaligombania
chuchu amejimilikisha la kwake analo ndani
huyo johari TUPA KULEEEEE
HILO LAKE JOTOOOOOOOOOOO!!!
HAPATI BARIDI MAISHA YAKEEEEE..!!!
 
Amsahau kitu gan wakat ray ndo mume wake wametoka mbali na kampuni wamefungua wote, huyo kishumundu zeru zeru sijui chuchu ya ng'ombe au mbuzi akirudishe kwa mumewe frank, Team johar tutamfanyia kitu mbaya ajute maisha yake yote, kaz kuiba mabwana za watu, anajua walipotoka? Na akiendelea ataisoma namba vzur , atarud kwao Tanga uku anaruka kichura chura mfyuuuu maza fantaa

Hahahahaaaaa uwiiiiiiiii
 
Binamu humpendi chuchu yaani sijui kakusoea nini chuchu tanga hendi...!!!
Msipojiangalia nyie wakuja na gogo(treni)mtaondoka bila kuaga
chuchu hans warushe rohoo uumize roho zao!!kula raha mama kijua ndio hiki
johari kamuombe msamaha macdonald kwanza labda utapata wa kukupa joto usiku
 
mine ungeanza kumchukia johari alimuiba ray kwa mainda
wakawa wanalalwa wote kizamuzamu matala ya kizinzi
mainda akabadili dini ili aolewe wappiii
chuchu na mmewe kikubwa dini tofauti na frank nae ana shida yupo australia alioa akaacha mzungu ndo akaanza kudate na chuchu mnalaumu chuchu wakati kakuta dodo halina mwenyewe wanaligombania
chuchu amejimilikisha la kwake analo ndani
huyo johari TUPA KULEEEEE
HILO LAKE JOTOOOOOOOOOOO!!!
HAPATI BARIDI MAISHA YAKEEEEE..!!!

Bora johari yeye bado hajaolewa wala kuzaa jamani huyo chuchu amuachie johari ray wake japo nae aolewe....shauri zake huyo chuchu ajishaue kama ray c na ruge...yako wapi?ruge huyooooo na karibuni atamuoa minjino wake zamaradi the same to ray & johari...

Yetu macho mamii,huwezi kuwaachanisha watu waliotoka mbali bwana..
 
Hivi jamani warumi huyo sintah ndio katufanyia nini kwenye hicho kiblog chake?kila nikitaka kuingia naambiwa sijui makitukitu gani....aaaarrrgggg
 
Last edited by a moderator:
bora johari yeye bado hajaolewa wala kuzaa jamani huyo chuchu amuachie johari ray wake japo nae aolewe....shauri zake huyo chuchu ajishaue kama ray c na ruge...yako wapi?ruge huyooooo na karibuni atamuoa minjino wake zamaradi the same to ray & johari...

Yetu macho mamii,huwezi kuwaachanisha watu waliotoka mbali bwana..

mine waliotoka mbali mainda na ray johari nae mwizi tuu
 
Back
Top Bottom