mine waliotoka mbali mainda na ray johari nae mwizi tuu
mhhhh hii hatari jamani....
Bora johari yeye bado hajaolewa wala kuzaa jamani huyo chuchu amuachie johari ray wake japo nae aolewe....shauri zake huyo chuchu ajishaue kama ray c na ruge...yako wapi?ruge huyooooo na karibuni atamuoa minjino wake zamaradi the same to ray & johari...
Yetu macho mamii,huwezi kuwaachanisha watu waliotoka mbali bwana..
Ebu sema wewe, hao wanaomshabikia chuchu ndo hao hao waliokimbia ndoa zao kwa ajili ya mahawahar, watupishe sie
Amsahau kitu gan wakat ray ndo mume wake wametoka mbali na kampuni wamefungua wote, huyo kishumundu zeru zeru sijui chuchu ya ng'ombe au mbuzi akirudishe kwa mumewe frank, Team johar tutamfanyia kitu mbaya ajute maisha yake yote, kaz kuiba mabwana za watu, anajua walipotoka? Na akiendelea ataisoma namba vzur , atarud kwao Tanga uku anaruka kichura chura mfyuuuu maza fantaa
nifah ata mie kwa sintah naambiwa sijui google vitu gani.,jamani Sintah nae vipi asa umbea atauchambua na nani??? mscheeeew zake
Bora johari yeye bado hajaolewa wala kuzaa jamani huyo chuchu amuachie johari ray wake japo nae aolewe....shauri zake huyo chuchu ajishaue kama ray c na ruge...yako wapi?ruge huyooooo na karibuni atamuoa minjino wake zamaradi the same to ray & johari...
Yetu macho mamii,huwezi kuwaachanisha watu waliotoka mbali bwana..
Nisaidie binamu, ana uzur gan yule kasuku? Uko nyuma flatscreen la maana, miguu kama ufito wa genge, kichwa kama kagongwa na boda boda, kembamba kama mti wa nsumbo, weupe tu unamsitir angekuwa mweus yule
labda wanatimiza masharti ya mganga je?kwenye kulana na ray?!!
mi chuchu nimekubali km nyokoooo alivyombadilisha ray maana ray alikua msiri kwenye mapenzi ila sasa hv ray jamani ig huko ndo amejaa hatari hongera chuchu
mimi ningepata nafasi ya kumshauri johari ningemwambia amsahau ray for good, uhusiano wao ubaki pale RJ angekuwa bonge la wise women, ila the worse party of it ni kwa vile bado anaamini there is a chance of win him back. hapo anainstole moto wa pasi kwenye moyo wake.
Kumbeeeeebinamu humpendi chuchu wewe
hivi unajua frank mtao alishindwana na mzungu huko australia aliko?
km mzungu tena walioana church km sikosei alishindwa how about chuchu?
usiseme tu chuchu
na johari mwache yamkute walimdhulumu macdonald yeye na ray30mils ndo wakafungua kampuni
mkaka wa watu alipagawa johar akajiona ye ndo malkia kwa ray kiko wapi?
always karma is.....
and goes around turn around thousand times..m
usimseme chuchu mseme johari na ujinga wake mana alimuacha alipiga teke almas akaokota shaba
akaingilia uhusiano wa ray na mainda leo mainda hajulikani km mkongwe ktk sanaa
yupo km mkia vile tunaomjua wale wa long t kibongobongo
johari muache ile kwake
na sasa minjino ana mimba yake nyingine.........
na sasa minjino ana mimba yake nyingine.........
Huyo Johari ifike kipindi akubali kushindwa, kila siku yeye mbona mwenzie hatumsikii kuongea.
Kumbeeeee
Basi ngoja aumie na yeye
Nilikuwa nakuambia tuh, johari sio wa kumfananisha na chuchu wala muigizaji yeyote apa bongo, demu katulia na anapiga kazi pia ana maisha mazur kuliko hao wanaohangaika kujiuza kwa wanaume ndo waishi